Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
mtu anayetumia kiti saidizicha bafuni kuoga
Kujitunza

Viti saidizi vya msalani na bafuni

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa viti saidizi vya msalani na bafuni kwa kufuata hatua nne za kutoa huduma.

Muda wa moduli: Masaa mawili mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi ya kusimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

  • Uchaguzi wa viti saidizi vya msalani, viti saidizi vya bafuni na vigoda vya kuogea

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Utangulizi viti saidizi vya mslani na bafuni

  1. 1.1. Viti saidizi vya msalani
  2. 1.2. Viti saidizi vya bafuni
  3. 1.3. Nani anatumia viti saidizi vya msalani na vile vya bafuni?

2. Hatua ya kwanza: Chagua

  1. 2.1. Tathmini
  2. 2.2. Mpango (pamoja na rufaa\)

3. Hatua ya pili: Kupata kipimo sahihi

  1. 3.1. angalia kifaa saidizi na ufanye marekebisho
  2. 3.2. Weka kiti saidizi cha msalani au bafuni mahali ambapo kiTatumika

4. Hatua ya Tatu: Matumizi

  1. 4.1. Kukaa na kutoka juu ya kiti saidizi cha msalani au bafuni salama (kuhama\)
  2. 4.2. Kutumia kiti saidizi cha msalani na bafuni kwa mafanikio
  3. 4.3. Kusafisha na kutunza kiti saidizi cha msalani au bafuni

5. Hatua ya nne: Ufuatiliaji

  1. 5.1. ufuatiliaji wa viti saidizi vya msalani au bafuni

6. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote