Fanya jaribio hili la maswali 15 ili kujua ujuzi wako wa awali wa vifaa saidizi vya Kujitunza; kabla ya kusoma moduli hii. Usiwe na shaka ikiwa utapata taabu katika kufanya jaribio hili! Utajifunza mada hizi zote wakati ukisoma moduli hii
Jaribio kabla ya kuanza kusoma moduli kuhusu vifaa saidizi vya Kujitunza.
Muhtasari wa Jaribio
0 ya 15 Maswali yamekamilika
Maswali:
taarifa
Tayari umekamilisha jaribio hili hapo awali. Huwezi kuanza tena.
Jaribio linafunguka...
Lazima uingie kwenye akaunti yako au jisajiri ili uweze kuanza kufanya jaribio.
Kwanza Unapaswa kukamilisha yafuatayo:
Matokeo
Matokeo
0 kati ya maswali 15 yamejibiwa kwa usahihi
Muda umepita
Umefikisha pointi 0 kati ya pointi 0, (0)
Earned Point(s): 0 of 0, (0)
0 Essay(s) Pending (Possible Point(s): 0)
Makundi
- Ambazo hazijawekwa kwenye makundi0%
-
Hongera kwa kukamilisha jaribio hili. Usiwe na wasiwasi kuhusu alama ulizopata wala usirudie kufanya jaribio kwa mara nyingine. Utakuwa ukizosoma mada hizi zote kwa undani wakati ukisoma moduli hii.
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- Sasa
- Fanya tathmini
- Amejibu
- Sahihi
- Sio sahihi
-
Swali 1 Ya 15
Swali 1.
Kazi za Kujitunza ni pamoja na:
-
Swali 2 Ya 15
Swali 2.
Ili kufanya kazi za Kujitunza; mtu anapaswa kutumia stadi zinazohusu kushughulisha mwili kama vile kuhama kutoka eneo moja hadi nyingine, kusimama vizuri bila kuyumba, nguvu na mfumo wa mawasiliano wa mwili.
-
Swali 3 Ya 15
Swali 3.
Ili kufanya shughuli za Kujitunza watu hutumia ujuzi wa kufikiri kama vile kupanga na KuKumbuka.
-
Swali 4 Ya 15
Swali 4.
Uwezo wa kudhibiti Mkojo na haja kubwa ni kuwa na Uwezo wa:
-
Swali 5 Ya 15
Swali 5.
Shughuli za Kujitunza zinaweza kufungwa kwa urahisi na watu wengine kwa:
-
Swali 6 Ya 15
Swali 6.
Viti saidizi vya bafuni ni muhimu kwa watu ambao hawawezi kusimama na / au kusimama vizuri bila kuyumba Wakati wa kuoga.
-
Swali 7 Ya 15
Swali 7.
Viti saidizi vya msalani ni muhimu kwa watu ambao:
-
Swali 8 Ya 15
Swali 8.
Katheta ni mrija ambao huondoa Mkojo kutoka kwenye kibofu cha Mkojo. Unaweza kuwa na manufaa kwa watu ambao wanapata taabu kwenye kuruhusu na kuzuia Mkojo.
-
Swali 9 Ya 15
Swali 9.
Baadhi ya watu wanaona aibu kuzungumzia namna wanavyoweza Kujitunza
-
Swali 10 Ya 15
Swali 10.
Vitu vyote vifuatavyo ni mifano ya vifaa saidizi ambavyo vinaweza kumsaidia mtu kula au kunywa:
- Vifaa vya mezani ambavyo vimebadilishwa kwendana na mtumiaji
- Vifaa ya kutunza sahani vizuri
- Vikombe vinavyotumika mara moja
- Vikombe vyenye mikono ya kushikilia
-
Swali 11 Ya 15
Swali 11.
Kidonda mgandamizo ni kuharibika kwa ngozi. Kwa kawaida ni juu ya eneo la mfupa na mara nyingi Hii ni shida ya kawaida kwa watu ambao wana changamoto ya hisia au wanapata taabu ya kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine na kubadilisha namna wAlivyokaa.
-
Swali 12 Ya 15
Swali 12.
Watu wanaotumia viti saidizi vya magurudumu na wako katika hatari ya kupata kidonda mgandamizo wanapaswa kutumia mto wa kupunguza mgandamizo wanapotumia viti saidizi vya magurudumu walivyoshauriwa na daktari.
-
Swali 13 Ya 15
Swali 13.
Mzee ambaye ni dhaifu na anatumia fremu ya kuteWakati waa; anakwambia kwamba anapata shida kwenda msalani. Hii ni kwasababu anatembea polepole, hawezi kufika msalani haraka kama inavyopaswa. Aidha, anapata taabu kukaa na kusimama kutoka kwenye choo anachotumia. Kiti saidizi cha msalani kinaweza kuwa na Msaada mkubwa kwake.
-
Swali 14 Ya 15
Swali 14.
Vifaa saidizi vya kujituza ni ni vifaa vinavyotumiwa na watu wa umri wowote ambao wanapata taabu kwenye kujihudumia.
-
Swali 15 Ya 15
Swali 15.
Inayofuatia ni mifano ya vifaa saidizi vya kumsaidia mtu kuweza kuvaa na kuvua nguo.
- Fimbo ya kukusaidia kuvaa nguo
- Kifaa cha kukusaidia kuvaa Viatu
- Kifaa saidizi cha kuvaa soksi
- Kifaa cha kuchomeka vifungo vya nguo kwenye matundu yake na kuvuta cha zipu
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utafiti wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.