mtaalamu wa afya hutumia kiatu kigumu saidizi kwa mguu wa mtumiaji.
Moduli

Kupunguza msuguano kati ya kiatu na kidonda kwenye unyayo kinachosababishwa na ugonjwa wa kisukari

7 Masomo

Maelezo ya moduli

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa vifaa saidizi.

Kiwango cha ugumu: Pevu

Muda wa moduli: masaa 4 mkondoni, ikifuatiwa na mazoezi yaliyosimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Moduli iliyozuiliwa

Moduli hii kwa sasa inajaribiwa na kupitiwa. Ni chini ya upatikanaji wa vikwazo.

Rasilimali ambazo utahitaji

  • Kitakasa mikono
  • Glavu
  • Viatu vinavyofaa au Viatu tiba
  • Viatu vigumu saidizi
  • Bidhaa ya kupunguza msuguano kati ya kidonda na kiatu (EVA au pamba\)
  • Mkasi
  • Gozi yenye umbo la bomba
  • Mkanda
  • Lipstick au marker.

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.