Module details
Moduli hii inafundisha namna ya kugawa miwani ya kusomea.
Module duration: One hour online, followed by supervised practice as needed
Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:
Translation in progress
This module is currently being edited. Content may not be accurate in your language.
Kumbuka: Hatua ya kwanza katika kutathmini ikiwa mtumiaji anaweza kuhitaji miwani ya kusomea; ni kukamilisha kipimo cha uoni cha TAP (au kipimo cha uoni kinachofanana nacho). Namna ya uchunguzi huu hii imeelezewa vyema katika moduli ya vifaa saidizi vya uoni ya TAP.
Kwa kutumia kipimo cha uoni cha TAP unaweza kutambua kama mtu ana tatizo la uoni:
- Anahitaji kupewa rufaa kwenda kumuona mtaalamu wa afya ya macho au daktari wa tiba ya macho
- Anaweza kufaidika na miwani ya kusomea (haijazungumziwa kwenye TAP)
- Anaweza kufaidika na Vifaa saidizi vya uoni ambavyo vinaweza kugawiwa katika ngazi ya jamii (kama vile miwani ya kusomea\)
Rasilimali ambazo utahitaji
- Miwani ya kusomea yenye Uwezo kuanzia +1 hadi +3
- Vifaa na vipuri kwa ajili ya matengenezo ya msingi na marekebisho ya miwani ya kusomea
- Misumari midogo (nati) ambayo inafanana na misumari iliyoko kwenye miwani ya kusomea ambayo umeigawa
- Kioo kuza(kinachosaidia kuona misumari midogo)
- Vipuri kwa ajili ya miwani ya kusomea ambayo unameigawa kwa mgonjwa ikiwemo misumari na sehemu za kingo za miwani
Bonyeza kwenye linki hapa chini ili kupakua na kuchapa maneno yafuatayo:
Jukwaa la majadiliano
Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.
Ridhaa ya matumizi ya taarifa
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utafiti wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.
2. Naelewa kuwa taarifa zangu zilizotolewa viashiria vyote vya kunitambulisha; (taarifa ambazo zimekusanywa kupitia fomu Habarii ya usajili, utafiti wa maoni mtandaoni, alama nilizopata kwenye majaribio na taarifa kutoka jukwaa la majadiliano) zitatumika katika taarifa na kufanya utafiti ili kusaidia kuboresha TAP na kuboresha upatikanaji wa teknolojia ya vifaa saidizi, na ninaridHabaria
Ukurasa
of
Show / Hide lesson topics
Ukurasa
Previous page
Next page
Show / hide menu
completed
not completed
in progress
not started
Expand All
Collapse All
module lessons
Search results pagination
Kuingia kwenye mtandao
Username or email address
Password
Lost password
Main content anchor
Tafutiza
funga sehemu ya kutafuta kitu kwenye mtandao
Lesson navigation
breadcrumb
Module menu
Topic navigation
angalia yote
Menyu
Site menu
Akaunti ya mhusikamiaji inayohusiana
Group secondary navigation
opens in a new tab/window