Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa viatu vigumu ambavyo vinaweza kuvuliwa kwa kufuata  kufuatia hatua nne za utoaji huduma.

Muda wa moduli: Saa 2.5 mtandaoni, ikifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa inavyohitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

  • Viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Utangulizi

  1. 1.1. Maneno muhimu
  2. 1.2. Nani hutumia viatu vigumu saidizi?
  3. 1.3. Sifa za viatu vigumu saidizi

2. Hatua ya kwanza na ya pili: Chagua na uifanye iwe sawa

  1. 2.1. rufaa
  2. 2.2. Maelezo ya awali kuhusu Tathmini na Kipimo sahihi 
  3. 2.3. Mahojiano ya tathmini: Afya na Uwezo wa kusogea
  4. 2.4. angalia  kama ni kipimo sahihi na Uwezo wa kuhama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine
  5. 2.5. Weka Mpango

3. Hatua ya tatu: Fundisha

  1. 3.1. Kufundisha namna ya kutumia na kutunza kiatu kigumu saidizi

4. Hatua ya nne: Fuatilia

  1. 4.1. ufuatiliaji wa kiatu kigumu saidzi
  2. 4.2. Kuweka mpango wa hatua za ufuatiliaji

5. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote