Mtu anayetumia kiti saidizicha bafuni kuoga
Moduli

Viti saidizi vya msalani na bafuni

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa viti saidizi vya msalani na bafuni kwa kufuata hatua nne za kutoa huduma.

Kiwango cha ugumu: Rahisi

Muda wa moduli: Masaa mawili mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi ya kusimamiwa kama inahitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Masomo 6

Maelezo ya moduli

Kutafsri kunaendelea

Moduli hii kwa sasa inahaririwa. Yawezekana maudhui yasiwe sahihi katika lugha yako.

Rasilimali ambazo utahitaji wakati wa upimaji

  • Uchaguzi wa viti saidizi vya msalani, viti saidizi vya bafuni na vigoda vya kuogea

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.

Jukwaa la majadiliano Inafungua ukurasa mpya / dirisha jipya