Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Mwanaume aliyevaa miwani ya kusomea; anatumia kikombe kilichofanyiwa marekebisho, chenye mikono na kifuniko 
0% Imekamilika
Kujitunza

Bidhaa saidizi wa kujitunza

Moduli hii inatoa utangulizi wa vifaa saidizi vya Kujitunza 

Muda wa moduli: Saa 1.5 mtandaoni, ikifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa inapohitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Mada zote
Kunja zote