Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Utangulizi

Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na Shukrani

Somo: la 5 kati ya masomo 5
0% Imekamilika

Mwanamke akiongea na mwanaume mwenyeshikilia kifaa saidizi cha kupangilia umezaji vidonge na kutabasamu.

Tunatarajia kuwa utangulizi huu, umekusaidia kuelewa umuhimu wa vifaa saidizi, na namna unavyoweza kuelekeza wahitaji sehemu ambazo huduma za vifaa saidizi zinapopatikana. Aidha, utangulizi huu umekusaidia kuelewa namna unavyoweza kuwasaidia watu wanaotumia vifaa saidizi katika jamii yako.

Ikiwa utakuwa ukigawa vifaa saidizi, Unaweza kuendelea kusoma moduli inayofuata ambayo inahusiana na kile unachokifanya!

Ili kukamilisha moduli hii na kuweza kupakua cheti unapaswa kufaulu Jaribio linalofanyika baada ya kumaliza kusoma moduli.

Bofya kitufe hapa chini ili kuanza kufanya jaribio.

Thank you to the following people and organizations who helped create this module:

Content developers:
Claire Ibell-Roberts, Kylie Shae, Giulia Oggero, Emma Tebbutt.

Reviewers:
Rana Abd El Al, Esra Al-wahsh, Amira Fleety, Diana Hiscock, Alice Inman, Yousef Jeaday, Joseph Rasi, Gonna Rota.

Film, photo, illustration and graphics:
Codi Ash, Association pour le Bien des Aveugles et malvoyants Centre d’ Information et de Réadaptation, Tarryn Barry, Chantal Bryan, Jonathan Bryan, Jane Burgess, Catherine Fitrez, Ainsley Hadden, Institution genevoise de maintien à domicile, Jayamma, Ritchard Ledgerd, Mobility India, North East London (NHS) Foundation Trust, Carmela Puopolo, Ridha Regter, South African Circle of Dance Academy, Carel du Toit Trust, Gonugunta Venkateswaramma, Western Cape Rehabilitation Centre, World Federation of Occupational Therapists.

Video participants:
Adam Ungstad, Babalo Polose, Devina, Jody Bell, Karen Reyes, Raja, Roberto Masironi, Saraswati.

Pilot partners:
Papua New Guinea: National Department of Health (NDOH) Health Facilities Standards Branch, National Capital District Community (NCDC) Health Services, Port Moresby General Hospital (PMGH) Eye Clinic, National Orthotics and Prosthetics Service (NOPS), Motivation Australia.

Management of conflict of interest:
All contributors involved in the development of this module completed a Declaration of Interests form. WHO assessed these declarations and managed any potential conflicts of interest in accordance with its policies. Where a conflict was identified, appropriate measures were taken to ensure the integrity and independence of the process.