Hatua ya Tatu: Kutumia

Mtu anapaka mikono yake sabuni. Nyuma yake ni tanki la Maji na ndoo.

Hatua ya Tatu katika kutoa kiti saidizi cha msalani au bafuni ni kumfundisha mtu namna ya kutumia na kutunza kifaa saidizi hiki. Kutumia kiti saidizi cha msalani au bafuni kwa usahihi ni salama na husaidia kifaa hiki kudumu kwa Muda mrefu.

Soma mada zifuatazo ili ujifunze namna ya kumfundisha mtu kutumia na kutunza kiti saidizi cha msalani na bafuni.

Jukwaa la majadiliano