Ili kukamilisha moduli hii ya kwanza, Unapaswa kufanya jaribio hili la mwisho ambalo litaonyesha uelewa wako kuhusu kile ulichojifunza kuhusu vifaa saidizi. Unahitaji kupata alama 60% au zaidi ili kufaulu jaribio hili.
Jaribio baada ya kusoma moduli ya kwanza inayohusu Utangulizi wa vifaa saidizi
Muhtasari wa Jaribio
0 ya 15 Maswali yamekamilika
Maswali:
taarifa
Tayari umekamilisha jaribio hili hapo awali. Huwezi kuanza tena.
Jaribio linafunguka...
Lazima uingie kwenye akaunti yako au jisajiri ili uweze kuanza kufanya jaribio.
Kwanza Unapaswa kukamilisha yafuatayo:
Matokeo
Matokeo
0 kati ya maswali 15 yamejibiwa kwa usahihi
Muda umepita
Umefikisha pointi 0 kati ya pointi 0, (0)
Earned Point(s): 0 of 0, (0)
0 Essay(s) Pending (Possible Point(s): 0)
Makundi
- Ambazo hazijawekwa kwenye makundi0%
-
Oh pole, haukufanya vizuri katika jaribio hili! Unaweza kuhitaji kusoma tena kwa haraka haraka kabla ya kurudia kufanya jaribio hili kwa mara nyingine.
-
Bahati mbaya haukufaulu jaribio hili na unaweza kusoma moduli kwa haraka kabla ya kujaribu kwa mara nyingine
-
funga! Haukufaulu jaribio.Je, unahitaji kujaribu tena?
-
Umefanya vizuri , Umefaulu jaribio hili! Unaweza kupakua cheti chako kutoka kwa Ukurasa wa awali wa moduli.
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- Sasa
- Fanya tathmini
- Amejibu
- Sahihi
- Sio sahihi
-
Swali 1 Ya 15
Swali 1.
Yohana anatumia miwani ya kusomea.
Anita amekuwa na ugonjwa wa kiharusi na anatumia fimbo ya kuteWakati waa kumsaidia kuzunguka hapa na pale kwa kujitegemea.
Anya ana tatizo la kusikia na anatumia kifaa saidizi cha kusikia.
John, Anita na Anya wote wanatumia vifaa saidizi. -
Swali 2 Ya 15
Swali 2.
Mtu anaweza kutumia zaidi ya Kifaa saidizi kimoja.
-
Swali 3 Ya 15
Swali 3.
Mafunzo hayahitajiki kumtathimini mhitaji kuhusu kifaa saidizi anachohitaji.
-
Swali 4 Ya 15
Swali 4.
Vifaa saidizi:
-
Swali 5 Ya 15
Swali 5.
Kugawa vifaa saidizi kupitia huduma iliyoandaliwa vizuri :
-
Swali 6 Ya 15
Swali 6.
Muda unaotumika kugawa kifaa saidizi unategemea na ugumu au urahisi wa kifaa saidizi ambacho mhusika atapewa, afya na mahitaji ya mhusika, na mazingira ambayo mtumiaji huyu anaishi.
-
Swali 7 Ya 15
Swali 7.
Hatua muhimu zinazohusika katika kugawa vifaa saidizi ni:
-
Swali 8 Ya 15
Swali 8.
Wakati wa kuchagua kifaa saidizia na mtumiaji, Unapaswa:
-
Swali 9 Ya 15
Swali 9.
Wanajamii wana jukumu la kuwasaidia watu wanaotumia vifaa saidizi kushiriki katika kazi ambazo walemavu hawa wangependa kushiriki.
-
Swali 10 Ya 15
Swali 10.
Wakati kutafuta kipimo sahihi cha kifaa saidizi:
-
Swali 11 Ya 15
Swali 11.
Maria ni mzee na anasahau sana. Mara nyingi hawezi kujua ni Siku kwa wakati huo, kitu ambacho humfanya kuchanganyikiwa na kumpa wasiwasi. Maria anaweza kunufanika na vifaa saidizi vya kumsaidia KuKumbuka vitu, kwa mfano ubao mweupe, mahali ambapo mume wake anaweza kuandika jina la Siku
-
Swali 12 Ya 15
Swali 12.
Wakati wa kumfundisha mtumiaji mtarajiwa namna ya kutumia vifaa saidizi Unapaswa:
-
Swali 13 Ya 15
Swali 13.
Ufuatiliaji ni:
-
Swali 14 Ya 15
Swali 14.
Petro ana umri wa miaka mitano na anatembea kwa taabu. Yeye na mama yake wanakuja kukuona kwa ajili ya kumfanyia Peter tathmini ya kupata kifaa saidizi ambacho kitamsadia kutembea. Kupitia tathmini unatambua kwamba kuna fremu mbili za kuteWakati waa ambazo zinaweza kumfaa Petro. Unapaswa:
-
Swali 15 Ya 15
Swali 15.
Martha ni mwanamke mwenye umri wa miaka 50 mwenyesoma gazeti kwa taabu. Umemaliza kufanya hatua mbili za kwanza za utoaji huduma kwa Martha - umechagua miwani ya kusomea na kupata kipimo sahihi kwake. Kitu kingine unachopaswa kufanya ?
Tafadhali tujulishe kama unaridhia taarifa ilizokusanywa Wakati wa mafunzo haya itumike kwa shughuli za utoaji wa taarifa na utafiti wa baadaye.
Jibu "ndiyo" au "hapana" kwa kila Swali hapa chini. Hata kama utachagua jibu sahihi kama "hapana",bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.