Karibu kwenye mafunzo katika vifaa saidizi (TAP). Tafadhali soma habari hapa chini na jaza sehemu A na sehemu B ya fomu hii kabla ya kuanza mafunzo.
Fomu ya Kujisajili wa washauri Tanzania
Karatasi ya habari ya mshiriki
Karibu kwenye raslimAli ya mtandaoni inayohusu Mafunzo ya vifaa saidizi (TAP) . mafunzo haya ni hatua ya kwanza ya mradi huo, " mafunzo ya vifaa Saidizi (TAP)", yakiongozwa na Wizara ya Afya Tanzania, Shirika la Afya Duniani na shirika la Kimataifa la MsaadaAge International Tanzania. Mradi huu unalenga kuanzisha mfumo wa rufaa katika ngazi ya jamii wa mhusika kwenda kupata vifaa saidizi, na ugawaji wa vifaa saidizi mbalimbali katika Zahanati na hospitAli mbili za wilaya.
Tafadhali soma maelezo hapa chini na ujaze sehemu A (makubaliano) na sehemu B (utafiti wa uandikishaji) kabla ya kuanza mafunzo.
Taarifa kuhusu TAP: TAP ni mpango wa kujifunza mtandaoni kwa wafanyakazi ambao ni, au watakuwa:
- Wakianisha wahitaji wa kutumia vifaa saidizi na / au
- Kutoa bidhaa rahisi za usaidizi.
TAP inaweza kupatikana kwa kutumia kompyuta, kishikwambi au simu janja. Wanafunzi wa TAP pia watakuwa na Msaada wa uso kwa uso kutoka kwa washauri. Utakuwa unasoma Moduli za TAP ili Kujiandaa kwa jukumu lako kama mshauri.
Ikiwa una swali sasa, au wakati wowote unapopitia mafunzo haya, unaweza:
- Jadiliana na msimamizi wa mradi
- Njoo na maswaliko Wakati wa kupata maelekezo mafupi kutoka kwa mshauri
maoni yako ni muhimu: Mwisho wa mafunzo, utatWakati wa kutoa maoni kupitia majadiliano ya kikundi (focus group) Yanayoweza kudumu hadi dakika 90. Ushiriki wako katika majadiliano ya kikundi ni wa hiari, na utafanyika Wakati wa maSaa ya kazi, kwa wakati rahisi kwako na meneja wako wa huduma.
Ukusanyaji wa taarifa ya TAP: TAP hukusanya maelezo kuhusu wAShabaririki wa mafunzo ya TAP (Ikiwa ni pamoja na wewe) kupitia utakupata kipimo sahihii huu wa uandikishaji na utakupata kipimo sahihii wa maoni yako utakaofanyika baadaye. Aidha, alama utakazopata baada ya kujibu jaribio zitakusanywa pia, na taarifa kuhusu idadi ya moduli na Majina ya moduli ulizomAliza Kusoma inachukuliwa. Wakati wAShabaririki wamafunzo wWakati wa kwenye Vikundi vya majadiliano ili kubadilishana uzoefu na kutoa maoni, milio ya sauti zao zitanaswa na kutumika kwenye kutengeneza kumbukumbu ya maandishabari. Aidha sauti habarizi zilizonaswa zitafutwa baadaye.
Kabla ya taarifa habarii kutumika itatambuliwa. habarii inamaanisha kuwa Majina, na maelezo ya kibinafsi Yanaondolewa. Kwa njia habarii, hakuna mtu anayeangalia habari atakayejua ni habari ya nani. Maelezo yAliyotambuliwa hutumiwa kusaidia kuandaa ripoti kuhusu mafunzo haya ya TAP na kwa utakupata kipimo sahihii ili kusaidia kuelewa:
- namna TAP inavyokidhi mahitaji ya Wanafunzi na washauri na namna inaweza kuboreshwa
- Mawazo ya Wanafunzi na washauri kuhusu ugawaji wa vifaa saidizi
- Ni hatua gani zingine zinaweza kuchukuliwa ili kuboresha ufikiaji wa teknolojia ya usaidizi.
Taarifa hizo ambazo hazijatambuliwa huhifadhiwa kwa usalama na Shirika la Afya Ulimwenguni. Inaweza kuunganishwa na data kutoka kwa miradi mingine ya TAP, na inaweza kushirikiwa na washirika wa mradi, wafadhili na watafiti.
Ikiwa una maswali yoyote kuhusu ukusanyaji wa data wa TAP, unaweza kumuuliza mratibu wa mradi, au barua pepe: [email protected]