Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Maono

Weka Mpango

Somo: la 2 kati ya masomo 6
Mada: 6 kati ya Mada 6
0% Imekamilika

Kamilisha hatua hii kwa kuandika mpango. Andika bidhaa gani itakayotolewa (ikiwa ipo) na pia andika ikiwa rufaa kwa mtaalamu wa afya ya macho inapendekezwa.

Kazi

angalia sehemu ya 'Mpango' kwenye Fomu ya tathmini. Kumbuka kuwa kuna nafasi ya Kuandika hapo chini:

  • Aina ya kioo kuza au darubini iliyochaguliwa.
  • Kiwango cha kuongeza ukubwa kilichochaguliwa.
  • Maelezo mengine.
  • Rufaa kwa mtaalamu wa afya ya macho.
  • Tarehe ya kurudi hospitali kuonana na daktari

Swali

Kwanini ni muhimu Kuandika habari hii?

  • Inaewezekana kurejea taarifa hiyo katika Siku zijazo wakati mtu atakapoendaa kumuona daktari. Itamsaidia mtoa huduma kuelewa kile ambacho mtu huyo alipewa Siku zilizopita.
  • Pia husaidia mtoa huduma, mtunza ghala, na taarifa za huduma.

Umekamilisha somo la pili!