Mwishoni mwa ufuatiliaji, panga kufuatilia hatua zinazopaswa kufanyika. tumia taarifa uliyokusanya ili kuamua kama mtu :
- Mhusika anahitaji ufuatiliaji mwingine
- Mhusika yuko salama anapotumia kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa.
- rufaa kwenda kupata huduma nyingine inahitajika.

UnamKumbuka Mario?
Alifuatiliwa Wiki moja baada ya kupewa kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa.
Mario kisha alikuwa anafuatiliwa Kila baada ya wiki mbili mpaka pale alipokuwa hahitaji tena kutumia kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa.
ufuatiliaji huu wa mara kwa mara ulikuwa muhimu kwa sababu Mario ana matatizo ya kuhisi (hisia\) kwenye miguu yake na mtoa huduma ya afya anaweza kuangalia mara kwa mara kama kuna Matatizo yoyote kwenye ngozi yake.
Swali
UnamKumbuka Khari?
Wakati wa ufuatiliaji wa Khari, unamtazama akitembea na kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa pamoja na kifaa saidizi chake cha kutembelea.
Utajuaje Khari anatembea kwa usalama Wakati wa na kiatu kigumu saidizi?
Chagua majibu sahihi tu.
Umepatia iwapo umechagua jibu kwa ni a, b na c.
Unaweza kumtazama Khari akitumia kiatu kigumu saidizi na muulize namna anavyohisi wakati anapokitumia.
d sio sahihi.
Sio watu wote watakuwa salama wanapotumia kiatu kigumu saidizi.
Ikiwa kuna Matatizo mengine yoyote kwenye kutumia kiatu saidizi kigumu; kama vile Matatizo ya ngozi au kinamchubua mvaaji, basi kiatu hiki kinapaswa kuvuliwa, kurekebishwa na kujadiliwa pamoja na daktari. Kifaa kingine kinaweza kufaa zaidi.
Swali
Ni wakati gani rufaa kwenda kwenye kituo kingine cha kutolea huduma itahitajika baada ya kufanya ufuatiliaji?
Chagua majibu sahihi tu.
uko sahihi iwapo umechagua jibu kama a, b na c.
Wakati wa kufanya ufuatiliaji, Unaweza kugundua Matatizo katika kutumia kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa au Matatizo mengine ambayo Yanakupasa kutoa rufaa
Wakati wa kuacha kutumia kiatu saidizi kigumu
Watu tofauti hupona baada ya muda tofauti. Daktari atafanya uamuzi pale ambapo kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa hakihitajiki.