Kutumia TAP

Anza kujifunza na TAP

1. Utangulizi

2. Jisajili

3. Ingia

If you are part of an organised training course you may be asked to complete a course enrolment survey. Find the right course enrolment survey for your country.

4. Anza kujifunza

5. Endelea kujifunza

Muundo wa moduli

Moduli za TAP ziko katika mikono sita:

  • Utambuzi
  • Mawasiliano
  • Uoni
  • Kusikia
  • Kujitunza
  • Kusogea.

Kila mkondo una moduli ya utangulizi, ikifuatiwa na moduli za vifaa saidizi

Kila unapotumia TAP Kumbuka:

  • Kukaamilisha Utangulizi wa moduli ya vifaa saidizi
  • Kukamilisha moduli ya utangulizi kwa kila mkondo kabla ya kuanza kusoma moduli za vifaa saidizi katika mkondo huo.

Picha inayoonyesha safu Tatu za moduli za TAP.

Maudhui ya moduli

Moduli za TAP zimetengezwa kwendana na spidi ya mwanafunzi. Kiasi cha muda kinachohitajika kinatofautiana kutoka saa moja 1 - masaa 4 kulingana na moduli na mwanafunzi.

Moduli ni pamoja na:

  • Jaribio kabla na baada ya kusoma moduli
  • Maandishi, vielelezo na video
  • Fomu za uchunguzi na tathmini ya vifaa saidizi zinazoweza kupakuliwa, maneno muhimu na muhtasari wa ujumbe muhimu
  • Maswali na shughuli zinazowafanya washiriki kuwasiliana na kujadili
  • jukwaa la majadiliano la kubadilishana uzoefu na kuUliza maswali.

Washiriki wa mafunzo ya TAP watafaidika na wASHAuri ambao wanaweza:

  • Andaa bidhaa na rasilimali nyingine zinazohitajika kusoma kila moduli
  • Toa Msaada na ratibu majadiliano rika kwa kadri wanafunzi wanavyosoma kila moduli
  • Anzisha vikao vinavyosimamiwa kwa ajili ya kufanya mazoezi na kuongeza ujuzi.

Ugawaji wa TAP

Mafunzo ya TAP ni rasilimali ambayo yaweza kufanyika muda wowote na ambayo yametengenezwa kulenga mifumo ya afya na mafunzo ya utoaji wa teknolojia ya vifaa saidizi. Teknoloji hii inapatikana kwa kuchanganya kujifunza mtandaoni na kufanya mazoezi kwenye sehemu zenye wahitaji, pamoja na kupata Msaada wa wASHAuri wa eneo husika ili kujenga Uwezo wa utoaji rufaa na ugawaji wa vifaa saidizi. Jukumu la wASHAuri wa eneo husika ni:

  • Andaa bidhaa na rasilimali nyingine zinazohitajika kusoma kila moduli
  • Toa Msaada na ratibu majadiliano rika kwa kadri wanafunzi wanavyosoma kila moduli
  • Anzisha vikao vinavyosimamiwa kwa ajili ya kufanya mazoezi na kuongeza ujuzi.

Utoaji wa mafunzo ya TAP unahitaji kuwepo mifumo ya huduma , ikiwa ni pamoja na usambazaji wa vifaa saidizi. Jukwaa la TAP linajumuisha rasilimali saidizi kwa mtumiaji yeyote anayeratibu utoaji wa mafunzo ya TAP (kama vile wasimamizi wa utoaji huduma, viongozi wa kliniki, waelimishaji, mashirika ya utekelezaji) ili kusaidia utekelezaji wa ugawaji wa vifaa saidizi katika huduma wanazotoa.

Soma zaidi kwenye tovuti ya Shirika la Afya Duniani.

Vyeti vya TAP

Cheti cha Kukamilisha Mafunzo ya TAP kinaweza kupakuliwa mwishoni mwa kila moduli. Mshiriki wa Mafunzo anapaswa kupata zaidi ya 60% kwa kila moduli katika kila jaribio la baada ya kumAliza kusoma moduli.

TAP Contact

Ikiwa una Maswali zaidi kuhusu TAP wasiliana na Timu ya Teknolojia ya Kusaidia ya WHO huko [email protected].