Moduli hii inajaribiwa na kukaguliwa kwa sasa. Imewekewa vikwazo vya ufikiaji. Tafadhali usishiriki.
Muhtasari wa Moduli: Moduli hii inajengwa juu ya moduli ya vitabu na bodi za Mawasiliano ya TAP na inajumuisha taarifa za ziada kuhusu jinsi ya kutoa vifaa vya mawasiliano vya kielektroniki. Inawafundisha wafanyakazi wa afya ya msingi na jamii kutoa vifaa vya mawasiliano vya kielektroniki kwa kufuata hatua nne za huduma.
Muda wa moduli: Masaa 2 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa mkufunzi/mshauri pale inapohitajika.
Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha moduli zifuatazo:
Moduli hii hutoa viungo vya kufikia msamiati wa kielektroniki unaopatikana kwa urahisi, ambao unaweza kutafsiriwa na kubadilishwa kwa tamaduni tofauti na kupakiwa kwenye vifaa vya mawasiliano vya kielektroniki. Tazama kanusho mwishoni mwa moduli kwa maelezo zaidi.
Simu mahiri au kompyuta kibao zenye msamiati wa alfabeti
Kompyuta kibao zenye msamiati wa Msingi na Msingi na kurasa za tathmini
Vinyago vya kuwatia moyo watoto wadogo kushiriki
Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:
2. Ninaelewa kuwa taarifa zangu ambazo hazijatambuliwa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya (ikijumuisha fomu hii ya usajili, uchunguzi wa maoni mtandaoni, matokeo ya maswali na jukwaa la majadiliano) zitatumika katika kuripoti na utafiti ili kusaidia kuboresha TAP na kuboresha ufikiaji wa teknolojia ya usaidizi, na ninatoa idhini yangu kwa hili.