Msai wa mlemavu wa macho, kushikiria fimbo nyeupe.
Moduli

Utambulisho wa vifaa saidizi

Moduli hii inatoa maelezo ya jumla ya vifaa saidizi.

Masomo 5

Maelezo ya moduli

Moduli hii inahusu utambulisho wa vifaa saidizi.

Kiwango cha ugumu: Rahisi

Muda wa Kusoma moduli: Saa moja mtandaoni

Tazama video hii kabla ya kuanza Kusoma moduli hii ili ujifunze namna ya Kusoma moduli za TAP kwenye mtandao:

Kutafsri kunaendelea

Moduli hii kwa sasa inahaririwa. Yawezekana maudhui yasiwe sahihi katika lugha yako.

Rasilimali ambazo utahitaji wakati wa upimaji

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Jukwaa la majadiliano

Uliza maswali na tumia jukwaa hili kujadiliana kuhusu moduli hii na kubadilishana uzoefu na wenzio.

Jukwaa la majadiliano