Utangulizi
Hatua ya Pili - Kipimo sahihi
Hatua ya pili inahusisha kupata kipimo sahihi cha kifaa saidizi.
Mara tu kifaa saidizi kinapochaguliwa, mtoa huduma hukikisha kuwa kifaa saidizi:
- kimeunganishwa vizuri inavyotWakati wa
- kimerekebishwa na kuwekwa kwenye kipimo sahihi
- ni kizuri na salama kwa mhitaji kuweza kukitumia bila wasiwasi
Kupata mrejesho kuto wa moja kwa moja kutoka kwa mtumiajimiaji ni muhimu sana katika hatua hii.
Kwa kulingana na kifaa saidizi, kupata kipimo sahihi Kunaweza kujumuisha kufanya marekebisho zaidi ili kuhakikisha kuwa kifaa saidizi kinaendana na mahitaji ya mhusikamiaji.
katika picha Inayofuatia mtoa huduma anafanya mazoezi na Michael kujua kama fimbo yake nyeupe ina urefu sahihi. Fimbo hii inapaswa kuwa na urefu wa kutosha , utakaomwezesha Michael kuweza kupapasa ardhi Wakati wa yake wakati akitembea.
Kipimo sahihi ni muhimu sana. Kifaa hakitaweza kufanya kazi vizuri kama hakina kipimo sahihi, na haitakuwa rahisi kukitumika na/au kInaweza kusababisha madhara.
UnamKumbuka Mzee Mathias?
Mathias anatumia rolata kutembea kuzunguka nyumba yake na kwenda kwenye bustani yake. Mtoa huduma aliyempa Mathias rolata yake, aliHakikisha kuwa rolata ina urefu sahihi unaendana na Mathias. Watoa huduma walimsaidia Mathias kufanya mazoezi ya kutembea na rolata, na kuuliza kama alihisi vizuri wakati akitembea. Pia waliangalia breki ili kuhakikisha kuwa rolata hii ilikuwa katika hali nzuri, na kwamba ilikuwa salama kutumika.
Idhini ya matumizi ya habari
Tafadhali tujulishe ikiwa utatoa kibali kwa taarifa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya ili zitumike kwa shughuli za baadaye za kuripoti na utafiti.
Angalia ndiyo au hapana kwa kila swali hapa chini. Ukichagua hapana, bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.
2. Ninaelewa kuwa taarifa zangu ambazo hazijatambuliwa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya (ikijumuisha fomu hii ya usajili, uchunguzi wa maoni mtandaoni, matokeo ya maswali na jukwaa la majadiliano) zitatumika katika kuripoti na utafiti ili kusaidia kuboresha TAP na kuboresha ufikiaji wa teknolojia ya usaidizi, na ninatoa idhini yangu kwa hili.
Ukurasa
ya
Onyesha / Ficha mada za somo
Ukurasa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa unaofuata
Onyesha / ficha menyu
imekamilika
haijakamilika
inaendelea
haijaanza
Panua Yote
Kunja Zote
masomo ya moduli
Utaftaji wa matokeo ya utafutaji
Ingia
Jina la mtumiaji au barua pepe
Nenosiri
Nenosiri lililopotea
Anga ya maudhui kuu
Tafuta
Funga utafutaji
Urambazaji wa somo
mkate wa mkate
Menyu ya moduli
Urambazaji wa mada
Tazama zote
Menyu
Menyu ya tovuti
Akaunti ya mtumiaji inayohusiana
Urambazaji wa pili wa kikundi
inafungua kwenye kichupo/dirisha mpya
Kamilisha jaribio