Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Utangulizi

Utangulizi wa upimaji wa milango ya fahamu

Moduli hii inahusu utangulizi wa upimaji wa usikivu na uoni  kwa watoto wa umri wa shule.

Muda wa kusoma moduli: Saa moja mtandaoni

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Utangulizi wa upimaji wa mishipa ya fahamu

  1. 1.1. Maneno muhimu
  2. 1.2. Utangulizi wa uoni na usikivu
  3. 1.3. Huduma ya uoni na usikivu
  4. 1.4. Upimaji wa mishipa ya fahamu

2. Ufanyaji wa programu ya upimaji kwa watoto wa umri wa shule

  1. 2.1. Kabla ya kuanza upimaji
  2. 2.2. Siku ya upimaji
  3. 2.3. Baada ya upimaji

3. Rufaa kwa mtaalamu wa macho na masikio

  1. 3.1. Kutoa na kufuatilia rufaa

4. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote