Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Hatua ya tatu: Matumizi

Somo: la 3 kati ya masomo 5
0% Imekamilika

Mhudumu wa afya akikagua kiatu tiba.

Hatua ya Tatu katika kugawa kiatu tiba ni kumfundisha mtu namna ya kutumia na kutunza kiatu tiba.

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha usoMaji wa somo hili na uJifunze zaidi kuhusu namna ya kutumia na kutunza viatu tiba.

Mada za somo

  1. Haijakamilika: 1. Kuvaa viatu vya matibabu

  2. Haijakamilika: 2. Kutunza viatu vya matibabu