Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Kuvaa viatu tiba

Somo: la 3 kati ya masomo 5
Mada: 1 kati ya Mada 2
0% Imekamilika

Katika mada hii, utajifunza kuhusu namna ya kutumia viatu tiba salama na inavyopasa.

Namna ya kuvaa viatu tiba

  1. Fungua kamba za kiatu.
  2. Weka vidole kwenye kiatu kwanza, kisha ingiza kisigino.
  3. Hakikisha hakuna mikunjo nyuma ya kiatu.
  4. kama kiatu kina isehemu ya ndani ambayo juu yake ndio kamba za viatu zinafungwa, ivuta inyooke Ikiwa imejikunja ili kuhakikisha kuwa inakaa sawa
  5. funga kamba za viatu.

Tazama Video hizi ili ujifunze namna ya kumvalisha mhusika viatu tiba kwa usahihi.

Jumuisha mwanafamilia au mlezi

Ikiwa mtumiaji anahitaji kfiaa saidizi cha kuvaa viatu au ana shida ya KuKumbuka, mfundishe mwanafamilia au mlezi wake namna ambayo mtu huyo anaweza kuvaa viatu vyake.

Watu wanaotembea miguu peku

Watu ambao kawaida hutembea miguu peku wanaweza kutokujisikia vizuri wanapovaa viatu tiba. Itawachukua muda kuzoea.

Kufundisha matumizi sahihi kutasaidia matumizi salama ili kuepuka majeraha.

Utunzaji na ulinzi wa miguu

Kuna hatua tano za kutunza na kulinda miguu.

mtu lazima ajue namna ya kufuata hatua hizi ili kupunguza hatari ya kupata jeraha la mguu.

1. Vaa viatu vinavyokutosha vizuri

viatu ambavyo havifai vinaweza kukusababishia majeraha na kukusababishia kupata jeraha la sehemu ya unyayo.

Mguu ukiwa ndani ya kiatu cha tiba kinachomtosha mvaaji vizuri.

2. Kagua miguu kila siku kuona kama kuna Mabadiliko au kuna jeraha

Matatizo Yanayotambuliwa mapema Yanaweza kushughulIkiwa kabla hali haijawa mbaya zaidi. Hii inasababisha kuwepo kwa matokeo bora.

Mwanamke Aliyekaa anakagua sehemu ya chini ya miguu yake.

3. Wasiliana n mhusika iwapo  una wasiwasi au Maswali yoyote

Mpe taarifa za Mawasiliano za watu wa kuwasiliana nao pale anapokuwa na wasiwasi, na namna ya kuwasiliana nao.

Ikiwa kuna shida yoyote kuhusu kipimo sahihi cha viatu au majeraha Yanayotokana na viatu, wasiliana na mtoa huduma mara moja ili aweze kufanyiwa ufuatiliaji.

Iwapo mtu huyo aTAPata jeraha la mguu, anapaswa kutafuta huduma za matibabu ndani ya maSaa 24.

Mwanamke anaenda kuonana na mtoa huduma ya afya ili kugagua viatu tiba vyake.

4. Vaa soksi zinazofaa ambazo huoshwa na kubadilishwa kila siku

Soksi zinazofaa ni soksi safi zinazomtosha mvaaji vizuri.

viatu tiba lazima vivaliwe  na soksi kila wakati

Soksi zinapaswa:

  • Kumtosha kwenye mguu vizuri: Soksi zilizolegea zinaweza kujikunja ndani ya kiatu
  • Kuwa nyembamba: Soksi nene huchukua nafasi kubwa sana kwenye kiatu
  • Zisiwe na mikunjo ilishonwa: Mikunjo habarii inaweza kusugua mguu na kuharibu ngozi
  • Rangi yenye rangi iliyopoa: Rangi habarii itarahisisha kugundua haraka pale mguu unapovuja damu
  • Inayoifanya miguu ipumue kwa urahisi: vifaa vingi vya kawaida ni pamoja na pamba ili kupunguza unyevunyevu na bakteria.

mtumiaji wa soksi Wakati wa amevaa soksi zinazofaa ambazo zimeshika mwili na hazina mikunjo.

5. Vaa viatu tiba ndani na nje nyumba mara nyingi inavyowezekana

mtumiaji wa viatu tiba Wakati wa amekaa kwenye sofa huku akivaa viatu tiba.

Vaa viatu tiba ndani na nje ya nyumba

mtu anaweza kupata jeraha la mguu katika mazingira yoyote. Miguu hulindwa tu pale kiatu tiba kinapovAliwa.

Mhimize mtumiaji wa viatu tiba kuvivaa ndani na nje ya nyumba mara nyingi iwezekanavyo. Kitendo hiki kitalinda miguu yake na kumpunguzia hatari ya kupata kidonda.

Ikiwa mtumiajimiaji wa viatu tiba hataki kuvivaa viatu vyake anavyotumia nje ya nyumba, Wakati wakati wa ndani ya nyumba, anaweza kuhitaji jozi mbili. Jozi moja ya kutumia nje, na jozi nyingine ya kutumia ndani ya nyumba.

Swali

Soma mifano Inayofuatia na ujibu maswali..

1. mtumiaji wa viatu tiba amegundua kuwa ana kidonda sehemu ya chabarini ya mguu wake, wakati akifanya ukaguzi wa miguu; ambao anaufanya kila siku.Kwa kawaida anapotoka nje huvaa viatu pamoja na soksi nyeusi . Hajui ni wakati gani amepata kidonda habaricho.

Ni mambo gani ambayo yangemsaidia kubaini uwepo wa kidonda mapema?

Chagua majibu sahihi tu.



Umepatia iwapo umechagua majibu sahihi kuwa ni "a" na "b"

Uvaaji wa soksi nyepesi unarahisisha kuweza kuona damu. Uvaaji wa viatu tiba ndani na nje kunawapa ulinzi zaidi.

c Sio sahihi.

mtumiaji wa kiatu anaweza kuwa na Matatizo ya hisia . Matatizo haya Yanaweza kumfanya asiweze kuhisi Maumivu hata kama amejeruhiwa.

2. mtumiaji hutumia viatu tiba anapotoka nyumbani. Anaona sio lazima kuvaa viatu vyake ndani ya nyumba.

Je, hii inaongeza hatari ya kupata jeraha la mguuni?


Ndiyo, mara nyingi watu wanaweza kutembea zaidi ndani ya nyumba kuliko wanapokuwa nje ya nyumba.

Uvaaji wa viatu tiba ndani na nje ya nyumba hutoa Msaada zaidi na ulinzi dhidi ya jeraha na msuguano wa miguuni.

Watu wenye Matatizo ya hisia (hisia\) miguuni wako kwenye hatari kubwa ya kupata majeraha kwenye miguu. Ni muhimu kukagua miguu yao mara kwa mara na kuvaa viatu tiba mara nyingi iwezekanavyo.