Jaribio

Jaribio la awali kabla ya kuanza kusoma moduli kuhusu utangulizi wa vifaa saidizi

Fanya jaribio hili la Maswali 15 ili kujua ujuzi wako wa awali wa vifaa saidizi kabla ya kuanza kusoma moduli hii. Usiwe na wasiwasi ikiwa jaribio hili litakuwa ngumu kwako! Utapata wasaha mwingine wa kuelewa mada hizi zote wakati ukisoma moduli hii.

Jaribio la awali kabla ya kuanza kusoma moduli kuhusu utangulizi wa vifaa saidizi