Baada ya kupokea fomu ya rufaa ambayo imejazwa tayari, hatua inayofuata ni kukamilisha tathmini ya kiatu kigumu saidizi.
Kwa kupitia tathmini utakusanya taarifa kuhusu afya na Uwezo wa kusogea kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

taarifa kutoka kwenye fomu ya rufaa na tathmini yako utakayoifanya itakusaidia:
- Kuchagua upande sahihi na kiatu kigumi saidizi
- Kuangalia kipimo sahihi na Uwezo wa kusogea wa kiatu kigumu saidizi
- Kupanga nini cha kumfundisha mtumiaji wa kiatu kigumu saidizi
- Kupanga ufuatiliaji
- Kutoa rufaa kwenda kwenye huduma nyingine.
Fomu ya tathmini inajumuisha maswali kumuUliza mtu anayetarajiwa kutumia kiatu kigumu saidizi. Pia ina nafasi inayoruhusu kuweza kuweka mpango na mtumiaji wa kiatu.
Pakua ya Fomu ya tathmini ili kupewa kiatu kigumu saidizi na uchapishe nakala kama bado haujafanya hivyo.
kama huwezi kupakua fomu, usiwe na wasiwasi. Kila swali kwenye fomu limeweka dhahiri kwa kadri unavyosoma sehemu hii ya moduli


Tafuta eneo tulivu, na la faragha, kaa na mtumiaji wa kiatu kigumu saidizi na jaza Fomu ya tathmini.
Elezea mtumiaji mtarajiwa wa kaitu kigumu saidizi kwamba Maswali haya husaidia katika kutambua kama kiatu kigumu saidizi kinawafaa.
Ni muhimu kumhusisha mtumiaji mtarajiwa wa kiatu na/au mlezi Wakati wa mchakato wa tathmini.