Uhamaji
Kujadili na kukubaliana kwenye mambo ya kufanya
Hatua mbalimbali zinazohitajika zitakazochukuliwa katika mpango.
Tumia taarifa zilizokusanywa ili kuona kama:
- viatu tiba vinahitaji ukarabati au kubadilishwa na viatu vingine.
- mtumiaji wa viatu hivi anahitaji kifaa saidizi kingine tofauti. kama ndio anahitaji kifaa kingine tofauti; je kifaa hiki kinaweza kupatikana sehemu mtu huyu anapotibiwa? au anahitaji rufaa kwenda sehemu nyingine ambayo anaweza kupata kifaa hicho?
- mtu anahitaji mafunzo zaidi kuhusu namna ya kutumia kiatu tiba chake.
Panga ufuatiliaji ujao
Panga wakati utakapomFuatilia mtumiaji wa kiatu saidizi.
Anapaswa kuhudhuria walau mara mbili kwa ajili ya ufuatiliji mwingine baada ya kuwa wamepewa viatu tiba. Baada ya hapo, inapaswa kufanya tathmini kwa kila mwaka.
Toa tarehe na muda utakao kwenda kufanya ufuatiliaji mwingine. Tarehe hii na muda vitolewe kw amaandishi kwenye kadi ili kuhakikisha kuwa mgonjwa anaKumbuka kudhuria.
Umekamilisha somo la nne!
Idhini ya matumizi ya habari
Tafadhali tujulishe ikiwa utatoa kibali kwa taarifa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya ili zitumike kwa shughuli za baadaye za kuripoti na utafiti.
Angalia ndiyo au hapana kwa kila swali hapa chini. Ukichagua hapana, bado unakaribishwa kuendelea na mafunzo.
2. Ninaelewa kuwa taarifa zangu ambazo hazijatambuliwa zilizokusanywa wakati wa mafunzo haya (ikijumuisha fomu hii ya usajili, uchunguzi wa maoni mtandaoni, matokeo ya maswali na jukwaa la majadiliano) zitatumika katika kuripoti na utafiti ili kusaidia kuboresha TAP na kuboresha ufikiaji wa teknolojia ya usaidizi, na ninatoa idhini yangu kwa hili.
Ukurasa
ya
Onyesha / Ficha mada za somo
Ukurasa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa unaofuata
Onyesha / ficha menyu
imekamilika
haijakamilika
inaendelea
haijaanza
Panua Yote
Kunja Zote
masomo ya moduli
Utaftaji wa matokeo ya utafutaji
Ingia
Jina la mtumiaji au barua pepe
Nenosiri
Nenosiri lililopotea
Anga ya maudhui kuu
Tafuta
Funga utafutaji
Urambazaji wa somo
mkate wa mkate
Menyu ya moduli
Urambazaji wa mada
Tazama zote
Menyu
Menyu ya tovuti
Akaunti ya mtumiaji inayohusiana
Urambazaji wa pili wa kikundi
inafungua kwenye kichupo/dirisha mpya
Kamilisha jaribio