ufuatiliaji ni nini?
Wakati wa kufanya ufuatiliaji viatu tiba, angalia kama viatu:
- Ni salama kuvitumia na sio havisababishi majeraha
- Vinamtosha mvaaji vizuri au ivinapaswa kurekebishwa ili vimtoshe vizuri
- Inakidhi mahitaji ya mhusikamiajimiaji wa kiatu hiki katika kuzuia majeraha kwenye miguu
- Inahitaji kufanyiwa ukarabati au kubadilishwa.
Pia angalia:
- kama mtu anahitaji kupewa rufaa kwenda kwenye huduma nyingine
- Wakati ambapo ufuatiliaji unaofuatia Unapaswa kufanyika.
Wakati ambapo ufuatiliaji Unapaswa kufanyika
Baada ya kuvaa viatu tiba, ufuatiliaji Unapaswa kufanyika baada ya:
- Wiki moja
- Mwezi mmoja.
ufuatiliaji Unapaswa kufanyika mara nyingi zaidi kama kuna mfanyaji wa ufuatiliaji ana wasiwasi wowote.
Baada ya kufuatiliwa mara mbili, mtu anayetumia viatu tiba anapaswa kwenda kwenye ufuatiliaji walau mara moja Kila baada ya miezi 12. Ikiwa ana wasiwasi wowote, anapaswa kuwasiliana na huduma mapema.
Swali

UnamKumbuka Yensen?
Jensen ana matatizo ya hisia na ana historia ya kuwa na jeraha la mguu. Jensen amekuwa akivaa viatu vya tiba kwa wiki Tatu sasa. Kwa hivi karibuni amegundua uwepo wa wekundu sehemu ya juu ya kidole chake kidogo.

1. habarii inaweza kuwa ni nini?
Chagua majibu sahihi tu.
majibu yote yako sahihi.
Ni kawaida vidole vya mguuni hasa kucha kuwa na majeraha.
Eneo hili lenye uwekundu linaweza kupata usugu na ndio Jibu sahihi.
Mara nyingi msuguano unaotokana na viatu Unaweza kuonekana mapema kama eneo lenye wekundu na jibu hili ni sahihi\.
kama msuguano wa viatu na ngozi utaendelea kuharibu ngozi inaweza kupelekea uwepo wa kidonda cha mguuni.
2. Nini kinachoweza kuwa kimesababisha wekundu?
Chagua majibu sahihi tu.
kama umechagua a na b kama majibu sahihi uko sahihi. Kiatu hicho kinaweza kuwa kinaweka msukumo kwenye kidole cha Jensen, au Jensen anaweza kuwa amevaa soksi ambazo zinasugua kidole chake.
3. Unapaswa kufanya nini?
Chagua majibu sahihi tu.
uko sahihi iwapo umechagua jibu kuwa ni "a".
kama viatu vya Jensen havifai, mpe ushauri aache kuvivaa na kufanyiwa tathmini apate viatu vingine vya ukubwa tofauti.
Jensen pia anapaswa kupewa rufaa kwenda kwenye kliniki ya miguu au kliniki ya vidonda ili kuhakikisha kuwa hali ya kidonda chake haiwi mbaya zaidi.