Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Hatua ya nne: ufuatiliaji

Somo: la 4 kati ya masomo 5
0% Imekamilika

Mhudumu wa afya akikagua kiatu tiba.

Hatua ya nne katika kugawa viatu tiba ni ufuatiliaji. ufuatiliaji unahusisha kuhakikisha kuwa viatu bado vinafaa, na vinakidhi mahitaji ya mhusikamiajimiaji na viko katika hali nzuri.

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na uJifunze zaidi kuhusu kile unachopaswa kuangalia wakati unapofanya ufuatiliaji na hatua zilizozoeleka unazopaswa kuchukua.