Kutumia miwani ya kusomea

Miwani ya kusomea inaweza kuvaliwa Wakati wowote pale mtu anapohitaji kuona kitu kilicho karibu.

As well as wearing reading glasses, encourage people to ensure they have enough light when looking at objects up close. Suggest that they:

  • Aepuke kusoma au kufanya kazi zingine katika maeneo yenye Mwanga hafifu
  • Atumie vizuri Mwanga wa asili - kwa mfano kaa nje au karibu na dirisha wakati unapofanya kazi kwa karibu.
  • Elekeza taa katika kazi zilizo karibu

Malik working with a sewing machine with overhead light

UnamKumbuka Malik?

Mwajiri wa Malik aliweka taa za ziada kwa juu kwenye vituo vyenye mashine za kushona ili kuwasaidia wafanyakazi kuona vizuri.

Watu wengine wanaweza kuwa na wasiwasi kwamba miwani ya kusomea itayafanya acho yao kuwa na uvivu wa kusoma. Wahakikishie watu kwamba kuvaa miwani ya kusomea haitawasababisha wavaaji madhara yoyote.

However, if a person experiences any of the following problems, they should return for a follow up appointment or see a eye health professional:

  • Maumivu ya kichwa
  • Anaona vitu vya karibu kwa taabu
  • Anatumia nguvu sana kuweza kuona kitu
  • They need to hold objects too close or too far away to see them clearly