Hatua ya Pili - Kipimo sahihi

Maendeleo ya usoMaji Mada:

Picha inayoWakilisha hatua namba 2 ya 4.

Hatua ya pili inahusisha kupata kipimo sahihi cha kifaa saidizi.

Mtoaji wa huduma amesimama kwenye benchi, Wakati wa ameshikilia fimbo ya kuteWakati waa.

Mara tu kifaa saidizi kinapochaguliwa, mtoa huduma hukikisha kuwa kifaa saidizi:

  • kimeunganishwa vizuri inavyotWakati wa
  • kimerekebishwa na kuwekwa kwenye kipimo sahihi
  • ni kizuri na salama kwa mhitaji kuweza kukitumia bila wasiwasi

Kupata mrejesho kuto wa moja kwa moja kutoka kwa mtumiajimiaji ni muhimu sana katika hatua hii.

Kwa kulingana na kifaa saidizi, kupata kipimo sahihi kunaweza kujumuisha kufanya marekebisho zaidi ili kuhakikisha kuwa kifaa saidizi kinaendana na mahitaji ya mhusikamiaji.

Mtoa huduma akimsaidia Michael kutumia fimbo nyeupe. Ameweka mkono mmoja juu ya fimbo nyeupe ya Michae 'kutumia mfereji, na upande mwingine juu ya bega la Michael kusaidia kumwongoza.

katika picha Inayofuatia mtoa huduma anafanya mazoezi na Michael kujua kama fimbo yake nyeupe ina urefu sahihi. Fimbo hii inapaswa kuwa na urefu wa kutosha , utakaomwezesha Michael kuweza kupapasa ardhi Wakati wa yake wakati akitembea.

Kipimo sahihi ni muhimu sana. Kifaa hakitaweza kufanya kazi vizuri kama hakina kipimo sahihi, na haitakuwa rahisi kukitumika na/au kinaweza kusababisha madhara.

Mtoa huduma akimsaidia Mathias kutembea na rolata yake. Mtoa huduma amesimama upande na nyuma ya Mathias na ana mikono yote juu ya hips yake. Mathias anashikilia rolata yake kwa mikono yote miwili.

UnamKumbuka Mzee Mathias?

Mathias anatumia rolata kutembea kuzunguka nyumba yake na kwenda kwenye bustani yake. Mtoa huduma aliyempa Mathias rolata yake, alihakikisha kuwa rolata ina urefu sahihi unaendana na Mathias. Watoa huduma walimsaidia Mathias kufanya mazoezi ya kutembea na rolata, na kuuliza kama alihisi vizuri wakati akitembea. Pia waliangalia breki ili kuhakikisha kuwa rolata hii ilikuwa katika hali nzuri, na kwamba ilikuwa salama kutumika.

Jukwaa la majadiliano