Katika mada hii utajifunza zaidi kuhusu viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa vilivyozungumziwa kwenye TAP.
viatu vigumu saidizi vinashikilia kifundo cha mtu katika nafasi moja kwenye nyuzi 90.

Hebu tuangalie sifa za viatu vigumu saidizi
Vipengele muhimu vya kifaa saidizi cha Usikivu
- Ukubwa tofauti wa viatu kwa Watu wazima na watoto
- Vina sehemu ya ndani ili kulinda ngozi na mtumiaji wa viatu ajisikie vizuri anapovivaa
- Vina kamba ambazo zaweza kufungwa ili kuweza kufungwa na habarivi viatu viweze kumkaa vizuri mtumiaji
- Soli yenye umbo la kubana ili kuweza kumsaidia na kutembea vizuri
- Uzito mwepesi vya kunyanyua vilivyotengenezwa kutokana na plastiki au aluminiamu
Baadhi ya viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa vina plastiki ambayo inapanda hadi kwenye kifundo cha mguu ili kuweza kupata Msaada wa ziada.

Kazi
angalia kwa karibu viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa ambavyo vinapatikana kwenye eneo lako.
Vina sifa zipi muhimu?
Soli yenye umbo ambalo linafunika mguu
Hii inamaanisha sehemu ya chini ya kiatu imekunjwa ili kufanya kutembea kuwe rahisi na hivi kifundo kubaki eneo lake.

Swali
Je, unafikiri umbo la kiatu linarahisisha kutembea?
Chagua majibu sahihi tu.
Umepatia iwapo umechagua majibu sahihi kuwa ni "a" na "b"
Umbo linaruhusu kutembea vizuri kuliko sole pekee bila kuwa na sehemu ya kufunga na misuli yako haihitaji kufanya kazi kwa nguvu.
c Sio sahihi. Soli yenye umbo la kufunga hairahisishi kutembea.
Vipengele vingine
Baadhi ya aina nyingine za viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa vina sifa maalum. Kwa mfano:
- Ulinzi wa ziada
- Uwezo wa kushikilia kifundo cha mguu katika nafasi tofauti.
Pia kuna viatu vigumu vinavyoweza kuvaliwa vyenye urefu tofauti.
Moduli hii haihusishi habari zinazohusu hogo wala viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa vyenye sifa maalum wala urefu tofauti
Kuchagua kati ya hogo na viatu vigumu vinavyoweza kuvuliwa
Hogo pia inaweza kutumika kwa baadhi ya majeraha ambapo kiatu kigumu kinaweza kinatumika.

Hogo

Viatu vigumu saidizi
Hebu tuangalie Faida za kila kifaa.
Faida za viatu vigumu saidizi
- Rahisi kutembea wakati umevivaa kwa vile vina sole yenye umbo la kufunga.
- Kinaweza kuvuliwa ili mtu aweze kujisafisha na kuangalia ngozi yake.
- Kinaweza kubadilishwa Ikiwa ukubwa au umbo la mguu utabadilika kutokana na kuvimba.
- Kinaweza kuvaliwa kwa haraka zaidi
- Kinadumu zaidi

UnamKumbuka Jess?
Kiatu kigumu cha Jess kimemrahisishia kuweza kuwahudumia Watoto wake na kwenda nao shuleni.
Jess anapoangalia mguu Wakati wa jioni, hukuta umevimba. Hii inaufanya mguu kubana. Hali inapokuwa hivyo; Jess anaRekebisha kamba za viatu vyake ili kuweza kupata ahueni na kupumzisha mguu wake.
Jess amepewa ruhusa ya kuondoa hogo lake wakati anapooga mwenyewe. Pia ni fursa kwa yeye kukagua ngozi yake.
Faida za hogo
- Hogo linaweza kutengenezwa kuendana na umbo lolote la mguu / mguu
- Ni fanisi zaidi katika kupunguza uwezekano wa mguu kucheza cheza.
- Linaweza kushikilia kifundo cha mguu / mguu katika nafasi yoyote
- Mvaaji hawezi kuliondoa, kitu ambacho ni muhimu kwa wenye majeraha makubwa.

Uchaguzi wa kama kutumia hogo au kiatu kigumu kinachoweza kuvuliwa unafanywa na daktari.