Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Hatua ya kwanza na ya pili: Chagua na Pata kipimo sahihi

Somo: la 2 kati ya masomo 5
0% Imekamilika

Hatua ya kwanza katika ugawaji wa viatu vigumu saidizi ni kuangalia rufaa na kutathmini mahitaji ya mhitaji ili kuchagua kiatu kigumu saidizi.

Soma mada zifuatazo ili kukamilisha somo hili na uJifunze zaidi kuhusu namna ya kutathmini na kupata kipimo sahihi cha kiatu kigumu saidizi.

Mada za somo

  1. Haijakamilika: 1. Rufaa

  2. Haijakamilika: 2. Tathmini na muhtasari wa ufaafu

  3. Haijakamilika: 3. Mahojiano ya tathmini: afya na uhamaji

  4. Haijakamilika: 4. Angalia hali ya mwili na uhamaji

  5. Haijakamilika: 5. Mpango