Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Sifa na aina za viatu tiba

Somo: la 1 kati ya masomo 5
Mada: 3 kati ya Mada 3
0% Imekamilika

Kuna aina nyingi tofauti za viatu tiba . Moduli hii inazingatia viatu tiba na baadhi ya huduma za kawaida.

Sifa za viatu tiba

viatu tiba vina sifa sawa na viatu vinavyofaa na sifa za ziada ili kuweza kuweka ulinzi zaidi na Kutoa Msaada zaidi.

Sifa za ziada zilizozoeleka zaidi ni:

Sehemu ya ndani ya kiatu inayoweza kutolewa

Kitu kinachowekwa ndani ya kiatu ni kitu kidogo cha godoro au au mpira unaowekwa ndani ya kiatu.

viatu tiba vinapaswa kuwa na kitu kinachwekwa ndani ambacho hutoa kinga ya ziada kwa mguu.

Kitu kinachowekwa ndani kwenye kiatu kinapaswa kuondolewa (sio kinaachwa mahali pamoja\). Kinaweza kubadilishwa na kitu kingine bora zaidi au kubadishwa na mguu bandia Ikiwa itakuwa lazima.

viatu tiba vyenye kamba nyembamba ya mpira iliyoandikwa ' soli ya ndani ya kiatu inaweza kutolewa nje' Ikiwa imewekwa ndani.

Imeviringishwa ndani ya mishono

Mshono ulioviringishwa pia Unaweza kuitwa mshono wa 'siri'.

Uzi wa kushona kiatu kwa kila kiatu huviringishwa kwa ndani, ili ihisi kuwa uko tambarare na laini, bila kingo ngumu. Hii hupunguza hatari ya kusuguana na mguu wa mvaaji.

Kiatu chenye mishono iliyoviringishwa, iliyozungushwa ambayo haishikiki na kuonekana imefichwa.

Vidole vya miguu viwe na nafasi na upana wa kutosha

viatu tiba vina umbo linalosaidia kutoa :

  • nafasi ya ziada kwa kidole cha mguu
  • Upana wa kiatu.

Hii inaruhusu uwepo wa nafasi kwa vidole au miguu yenye maumbo yasiyo ya kawaida.

Mguu ukiwa ndani ya viatu tiba vinavyoonyesha nafasi ya ziada hapo juu na Wakati wa ya vidole.

Mguu ndani ya viatu tiba vinavyoonyesha nafasi kidogo ya ziada pande za mguu.

Sehemu ya juu inayoweza kuongezwa

Sehemu za juu na pande za kiatu tiba zinavutika.

Hali hii inaruhusu kiatu kuendana na umbo la mguu wa mtumiaji vizuri  na hutoa kinafaa katika mazingira tofuati.

Kiatu tiba kilichotengenezwa kutoka kwa bidhaa inoruhusu kuongezeka ukubwa

Sehemu inayofunga mguu kwa Wakati wa

viatu tiba vinaweza vina sehemu ya kiatu kinayofunga mguu kwa Wakati wa iliyotengenezwa kwenye soli ya kiatu

Sehemu ya kiatu inayofunga mguu kwa Wakati wa ni mkunjo mdogo kwenye soli inaosaidia kupunguza msukumo chini ya mguu wakati mtu anapokuwa akitembea.

viatu tiba vinavyoonyesha mkunjo mdogo Wakati wa sehemu ya chini ya kiatu.

Tazama video hii fupi ili uone namna sehemu ya Wakati wa ya kiatu yenye mkunjo inavyofanya kazi.

Ukubwa tofauti wa viatu tiba

kama ilivyo kwa viatu vingine, viatu tiba vimetengenezwa kwa ukubwa tofauti.

Ukubwa wa viatu hutegemea urefu wa mguu wa mvaaji na vinatambulika zaidi kwa kutumia namba.

Baadhi ya viatu (pamoja na viatu tiba\) vinaweza pia kupatikana kwa upana tofauti.

Wauzaji wengi wa viatu tiba watatoa mwongozo wa ukubwa, ambao unaonyesha ukubwa wa kiatu kwa urefu wa mguu husika.

Kwa kawaida viatu tiba kwa ujumla vinapatikana katika ukubwa unaowatosha watu wote wazima.

Tafakari

Kuna mifumo tofauti ya ukubwa wa viatu inayotumika katika sehemu mbalimbali za dunia.

Ni mifumo gani ya ukubwa wa viatu ambayo imezoeleka katika eneo lako?

  • Ulaya
  • Marekani
  • Australia
  • Uingereza
  • Kijapani 1
  • Nyingine

Mitindo tofauti ya viatu tiba

viatu tiba viko katika mitindo tofauti.

Mitindo miTatu inayopaswa kupatikana ni pamoja na:

  • Kiatu kilichofunikwa

viatu tiba ambavyo vinafunika kabisa kisigino na vidole.

  • Kiatu tiba chenye kisigino kilicho wazi

Kiatu cha plastiki chenye kisigino cha plastiki kIkiwa na matundu kwenye seheu ya juu pamoja na kamba zinazoweza kurefushwa au kupunguzwa urefu.

  • Kiatu tiba ambacho kinachoacha vidole wazi kwa Wakati wa.

Kiatu cha wazi chenye kisigino kilichofunikwa, kidole wazi pamoja na kamba zinayoweza kufupishwa au kuongezwa urefu.

Swali

1. Ni aina gani kati ya aina habarizi Tatu za viatu tiba unadhani zinatoa kinga zaidi?



uko sahihi iwapo umechagua jibu kuwa ni "a".

Kiatu tiba kilichofunikwa hutoa ulinzi zaidi. Kiatu tiba kinachoacha kisigino wazi au viatu tiba vya wazi vinavyoacha kidole wazi huacha eneo fulani la mguu lIkiwa nje na hivi kulifanya kuwa katika hatari ya kuumia.

2. Ni aina gani kati ya aina Tatu za viatu tiba inaweza kufaa kuvAliwa kweye hAli ya hewa ya joto?

Chagua majibu sahihi tu.



uko sahihi Ikiwa umechagua b na c kama majibu sahihi.

Sehemu za wazi za viatu tiba zinaweza kusaidia mguu kupumua kwenye hali ya hew ya joto. . Katika hali ya hewa ya joto kiatu kilichofunikwa kinaweza kuwa na joto sana.

3. Ni aina gani kati ya aina Tatu za viatu tiba inaweza kuwa nzuri zaidi kwa watu wenye miguu yenye maumbo yasiyo ya kawaida?



uko sahihi Ikiwa umechagua b na c kama majibu sahihi.

Kiatu cha wazi kinachoacha kidole wazi na kile chenye kinachoacha kisigino wazi kinaweza kufaa vizuri zaidi na kutoa kipimo bora zaidi kwa watu wenye miguu yenye maumbo yasiyo ya kawaida.

 Kazi

angalia kwa umakini viatu tiba vinavyopatikana eneo unalotolea huduma.

Ni mitindo gani inapatikana eneo hilo? Je, kuna viatu vilivyofunikwa, viatu vya wazi vinavyoacha kisigino wazi au viatu vya viatu vya wazi vinavyoacha vidole wazi?

Kwa kila aina ya viatu tiba bainisha sifa zifuatavyo zilizoko kwenye kiatu:

Sifa za viatu vinavyofaa

  • Kiatu chenye soli ya chini (kiatu cha chini)
  • Kamba zinazoweza kuongezwa na kupunguzwa urefu
  • Kitu cha kusaidia kisigino
  • Uwepo wa nafasi pana ya vidole
  • Soli isiyoteleza
  • Sehemu ya juu ya kiatu inayoruhusu hewa kupita na ambayo itadumu Muda mrefu.
  • Kwa ujumla Uwezo wa Kutoa Msaada thabiti kwa mvaaji.

Sifa za viatu tiba

  • Sehemu ya ndani ya kiatu inayoweza kutolewa
  • Kamba za viatu zilizofungwa kwa namna tofauti
  • Urefu na upana wa ziada cha vidole
  • Sehemu ya juu inayoweza kuongezwa
  • Sehemu ya Wakati wa ya kiatu inafunika mguu vizuri

Umekamilisha somo la kwanza!