Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Mhudumu wa afya akikagua kiatu tiba.
Uhamaji

Viatu tiba

Moduli hii inafundisha namna ya kugawa viatu tiba kwa wahitaji kwa kufuata hatua nne za utoaji huduma.

Muda wa moduli: masaa 2 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa na mwezeshaji kama itahitajika

Kabla ya kuanza, angalia kwamba umekamilisha Moduli zifuatazo:

Rasilimali zinazohitajika wakati wa upimaji

Upatikanaji wa baadhi ya aina za viatu tiba vilivyoelezewa kwenye Moduli hii kwa ajili ya kufanya mazoezi:

  • Kiatu tiba kilichofunikwa kote
  • viatu tiba ambavyo viko wazi kwenye sehemu ya vidole
  • Kiatu tiba ambacho sehemu ya kisigino iko wazi.

Utahitaji pia:

  • Vipande vikubwa vya karatasi (ukubwa wa miguu)
  • Kalamu ya wino mzito.

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo:

Masomo

1. Utangulizi

  1. 1.1. Maneno muhimu
  2. 1.2. Nani anatumia viatu tiba?
  3. 1.3. Sifa na aina za viatu tiba

2. Hatua ya kwanza na ya pili: Chagua na uifanye iwe sawa

  1. 2.1. upimaji wa afya ya mguu
  2. 2.2. Tathmini
  3. 2.3. Tafuta kipimo sahihi
  4. 2.4. Weka Mpango

3. Hatua ya Tatu: Matumizi

  1. 3.1. Kuvaa viatu tiba
  2. 3.2. Utunzaji wa viatu tiba

4. Hatua ya nne: Fuatilia

  1. 4.1. Nini maana ya ufuatiliaji na wakati gani wa kufanya hivyo
  2. 4.2. Mambo ya kufanya Wakati wa ufuatiliaji
  3. 4.3. Ukarabati na matengenezo
  4. 4.4. Kujadili na kukubaliana kwenye mambo ya kufanya

5. Jaribio baada ya kumaliza kusoma moduli na shukrani

Mada zote
Kunja zote