Skip to main content
0% Complete
Uwezo wa kusikia

kusikia na afya ya masikio kwa watoto

Moduli hii inatoa utangulizi wa Matatizo ya kusikia, kusikia na afya ya masikio na jinsi ya kufanya upimaji wa afya ya kusikia na masikio.

Muda wa Moduli: Masaa 2 na dakika 30 mtandaoni, yakifuatiwa na mazoezi yanayosimamiwa mkufunzi/mshauri pale inapohitajika

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha Moduli zifuatazo:

Rasilimali ambazo utahitaji wakati wa upimaji

  • Kifaa cha kupima sauti (mashine, kompyuta kibao au programu ya simu)
  • Spika za masikioni zinazochuja kelele
  • Otoskopu
  • Kifaa cha kupanua viungo (ukubwa mdogo na wa kati)
  • Vifaa vya kunawia mikono au kitakasa mikono
  • Vitu vya kufuta au kemikali ya kuua wadudu na pamba kusafisha vifaa vya upimaji.
  • Meza na viti viwili

Bonyeza kwenye linki hapa chini kupakua na kuchapa:

 

Nembo ya Raslimali Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo: