Skip to main content
0% Complete
Uwezo wa kusikia

Vifaa saidizi vya kusikia

Moduli hii inatanguliza bidhaa saidizi za kusikia na jinsi ya kutekeleza upimaji wa afya ya masikio.

Module duration: 2 hours online, followed by supervised practice as needed.

Kabla ya kuanza kusoma moduli hii, hakikisha kuwa umekamilisha Moduli zifuatazo:

  1. Utambulisho wa vifaa saidizi

Rasilimali ambazo utahitaji wakati wa upimaji

  • Otoskopu yenye angalau saizi mbili za speculum, betri ya akiba na balbu
  • Mkoba wa vifaa vya kusafishia masikio:
    • Maji safi (kuchemsha na kupoza maji yawe na uvuguvugu) na chombo
    • Sindano ya mililita 20 (bila sindano)
    • Sahani yenye umbo la figo au bakuli lingine
    • Tishu, karatasi pana ya kufutia kimiminika au taulo
  • Tishu kwa ajili ya kusafisha sikio
  • Kifaa cha kutupa utambi  uliotumika sikioni

Bonyeza kwenye linki iliyo hapa chini ili kuweza kupakua na kuchapa:

Nembo ya Raslimali Rasilimali

Bofya kwenye yafuatayo ili uweze kupakua na kuchapa taarifa zifuatazo: