Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Maono

Bidhaa saidizi uoni

Somo: la 2 kati ya masomo 4
0% Imekamilika
Picha kwa hisani ya: © WHO

vifaa saidizi vya uoni ni pamoja na:

  • vifaa saidizi kwa watu wenye hitilafu ya kuakisi au uoni hafifu ambavyo vinaweza kusahihisha au kuboresha uoni
  • Bidhaa zinazomsaidia mtu mwenye tatizo la kuona vibaya au upofu hutumia uwezo wake wa kusikia au kugusa kutekeleza majukumu
  • vifaa vinavyomsaidia mtu mwenye uoni hafifu au upofu kusogea kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

Maelekezo

Soma mada zifuatazo ili uweze kujifunza kuhusu vifaa saidizi vya uoni na watu ambao wanavihitaji.