Hatua ya Nne - Ufuatiliaji
Swali
- Ni hatua gani mtoa huduma anaweza kuhitaji kuchukua Wakati wa ufuatiliaji?
- angalia kwamba kifaa saidizi bado kinakidhi mahitaji ya mhusikamiajimiaji
- angalia kama kifaa saidizi ni kiko katika hali nzuri ya kufanya kazi
- Jibu Maswali kuhusu kifaa saidizi
- Rekebisha kifaa saidizi katika kipimo sahihi
- Fanya au weka utaratibu wa matengenezo
- Toa mafunzo zaidi kuhusu kutumia au kutunza kifaa saidizi
- Toa rufaa kwenda kwenye mhitaji kwenda kupata huduma nyingine ikiwa zinahitajika
UnamKumbuka Mzee Mathias?
Mtoa huduma katika jamii yake anamteWakati waa Kila baada ya miezi sita kuangalia kwamba rolata yake na vifaa saidizi vingine bado vinakidhi mahitaji yake.
Anakagua rolata ili kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizuri na ni salama, na anamuUliza mathias na mke wake ikiwa wana Maswali au matatizo yoyote.
Wakati wa ziara ya mwisho, mtoa huduma ya Afya katika jamii alitengeneza breki za rolata. Pia alimpa Mathias rufaa kurudi kwa muuguzi ili kufanyiwa uchunguzi, kwani Viatu tiba ya mguu vya Mathias havikumfanya ajisikie vizuri Wakati wa kutembea.
Kuzingatia hatua Nne kutawasaidia watoa huduma ya Afya katika jamii kufanya kazi kwa usalama na kwa ufanisi katika kugawa vifaa saidizi ili waweze kukidhi mahitaji ya kila mhitaji.
Umekamilisha Somo la Tatu!
Ikiwa una Maswali au maoni yoyote, Tafadhali yaandike kwenye jukwaa la majadiliano.