Ongea na wahitaji kuhusu Kujitunza

Maendeleo ya usoMaji Mada:

katika somo la mwisho tumejifunza kwamba watu wa umri wote wanaweza kupata changamoto katika Kujitunza, kwa sababu mbalimbali.

Swali

Ni stadi zipi kati ya hizi hapa chini ni muhimu hasa kwenye kusimamia shughuli za Kujitunza?










Majibu sahihi ni:

  • Uwezo wa kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine
  • Uwezo wa kuweza kusimama bila kuyumba
  • nguvu
  • Mawasiliano ya sehemu mbalimbali za mwili
  • Kuruhusu na kuzuia haja ndogo na kubwa
  • Uwezo wa kuweza kupanga
  • kuKumbuka mambo

Majibu yasiyo sahihi ni:

  • Kuogelea
  • Kusoma
  • Kuimba

Kwa kawaida si rahisi kudhihirika kuwa mtumiaji ana shida katika Kujitunza. Wafanyakazi wa huduma za afya mara nyingi wanahitaji kSio kweliza na kuuliza watu namna wanavyojitunza.

kama bado hujapakua,pakua vielelezo hivi  vya watu wanaotumia vifaa saidizi Kujitunza.

Unaweza kutumia vielelezo hivi ili kuwasaidia watu kuFikiria namna Kujitunza kunavyoweza kuwa na manufaa kwao.

Ikiwa kifaa hiki kinafaa, unaweza kukichapisha au kuweka kwenye karatasi ya nailoni

Yafuatayo ni Maswali matatu yatakayo kukusaidia uweze kuzungumza na mhitaji kuhusu Kujitunza.

Kila mara kabla ya kuanza mazunguzo, muulize mhojiwa kama yuko huru kuzungumzia kuhusu Kujitunza. Aidha, muulize kama angependa kuzungumza na mtu mwingine ambayo sio wewe;  na Uliza kama angependa mwanafamilia au mtu anayemhudumia awepo kwenye maongezi

1. Je, una sHabarida yoyote katika Kujitunza?

Mpe baadhi ya mifano kuhusu kazi za Kujitunza kama vile kuoga mwenyewe, kwenda msalani, kuvaa nguo na kula chakula.

2. kama ndio, unaweza kuelezea tatizo?

Dodosa maelezo zaidi kuhusu kazi za Kujitunza au kazi ambazo wanazifanya kwa taabu

Uliza ni hatua ambazo ni ngumu kuzichukua, na kwanini wnapta taabu kuzichukua, na kitu gani wamefanya kuhakikisha kuwa inakuwa rahisi kuzichukua.

Umejaribu kutumia vifaa saidizi vya Kujitunza? na kama ndio;Je vililkusaidia?

3. Je, unadhani vifaa saidizi vinaweza kukusaida?

Inaweza kusaidia kama utaongyesha au kuelezea kwa kutumia baadhi ya mifano ya vifaa saidizi na namna ambayo vinaweza kusaidia.

Kazi

Soma hadithi ya Daudi, mwenyeishi na mke wake Leitengi. Kisha jibu Maswali hapa chini kuhusu vifaa saidizi ambavyo vinaweza kumsaidia.

David na Leitengi wWakati wa wameketi bega kwa bega.
Daudi ni mtu mzee, mnyonge. Alikuwa na shida ya kutembea na alipimwa na kupewa fremu ya kuteWakati waa.

Daudi amerudi hospitali kukuona wewe kama mtaalam wa afya, unamuUliza kama unaweza kuzungumza naye juu ya namna anavyojitunza. Daudi anafurahia jambo hili. Anaomba kuzungumza nawe akiwepo mke wake.

UnaUliza: Je, una sHabarida yoyote katika Kujitunza, kwa mfano kuoga, kwenda msalani au kula?chakula

Daudi anajibu: Ndiyo, ana changamoto kwenye kuoga, kuvaa nguo, na kwenda msalani. Hana tatizo lolote katika kula.

UnaUliza: Je, unaweza kuelezea ni  kitu gani kigumu katika kila moja ya kazi Habarizi na namna unavyoweza kuhakikisha kuwa kazi Habarizi zinafanyika pamoja na ugumu unaoupata?

Daudi na mke wake wanaeleza:

  • Anapata taabu kwenda msalani. Wakati Daudi anapohitaji kwenda msalani, hawezi kufika huko kwa haraka kwa vile anatembea taratibu, pamoja na kutumia fremu ya kuteWakati waa
  • Anapata taabu kukaa chini na kusimama kutoka kwenye kiti saidizi cha msalani. Wakati mwingine hupata ajali. Wanalazimika kufua nguo Mara kwa mara; kitu ambacho kinamfedhehesha Daudi
  • Anaoga kwa taabu. Daudi anatumia muda mwingi sana bafuni na anapata wasiwasi kuwa anaweza kuanguka muda wowote.
  • Daudi anakaa chini kwenye ukingo wa kitanda chake Wakati wa kuvaa nguo kwa vile anapata taabu kusimama imara bila kuyumba. Hajisikii salama kuinama kwa Wakati wa ili aweze kuvaa soksi na Viatu. Anatumia Muda mrefu kuvaa nguo.
  • David is managing with Leitengi’s help. She helps him get to the toilet, and to shower and dress. She is finding it very tiring.
  • Kabla ya kupewa fremu ya kuteWakati waa, Daudi alikuwa hajawahi kutumia kifaa saidizi chochote.

Unadhani Daudi anaweza kufaidika na kifaa saidizi chochote?



Ndiyo,Daudi anaweza kufaidika na kifaa saidizi cha Kujitunza

Ikiwa Daudi anaweza kufaidika na kifaa saidizi cha Kujitunza, Je, ni kifaa kipi saidizi katika orodha ya vifaa saidizi iliyo hapa ambacho kingekuwa cha manufaa kwake?

Ndiyo

Daudi angeweza kufaidika na kiti saidizi cha msalani, ambacho kitamrahisishia kukaa kwenye choo cha kukaa na kutoka.

Kiti saidizi cha msalani kinaweza kuwekwa katika eneo karibu na mahali ambapo Daudi anapendelea kutumia muda wake, ili aweze kukifikia kwa urahisi zaidi.

hapana

Daudi hatumii Kiti saidizi cha magurudumu na kwa hivyo hahitaji mito ya kumsaidia kupunguza shinikizo kwenye eneo analokalia.

Ndiyo

Daudi angeweza kufaidika na kiti saidizi cha bafuni ili aweze kukaa Wakati wa kuoga.

Ndiyo

David anaweza kufaidika na Bidhaa za kufyonza kimiminika Maji ;kama ana wasiwasi kuwa hataweza kufika msalani kwa wakati pale atakapohisi haja hasa hasa inapotokea yuko mbali na nyumbani kwake.

hapana

Daudi hana shida ya kula. Hahitaji vyombo vya mezani vilivyotengenezwa kwendana na mtumiaji.

kama ulivyoona hapo juu, kuongea na David kuhusu Kujitunza kumesaidia kukuwezesha kuona matatizo aliyokuwa nayo

Pia inawezekana kutambua baadhi ya vifaa saidizi ambavyo vinaweza kumsaidia

Hata hivyo, inawezekana ikawa ngumu kwa baadhi ya watu, kuzungumzia kuhusu Kujitunza.

Majadiliano

Jadili katika kikundi au andika katika jukwaa la majadiliano kile unachoweza kufanya ili kuwezesha mazungumzo juu ya Kujitunza yafanyike kwa urahisi.

Onyesha uzoefu ulionao kwenye kujadiliana na mwanafamilia kuhusu Kujitunza.
Je, hii kazi ilikuwa rahisi au ngumu? Ulifanya nini ili kuwezesha mahojiano?

Je,ni kitu gani ambacho wewe na wanakikundi wenzio mnaweza kuongeza kwenye mapendekezo yaliyo hapa chini?

  • Kumpa mtu nafasi ya faragha ili kuzungumza kuhusu Kujitunza
  • Wape watu fursa ya kuzungumza na mtu wa namnaa kama yao
  • Muulize kama mhusika angependa mwanafamilia au mtu anayemhudumia awepo kwenye mahojiano
  • Fanya mazoezi ya kuzungumza na familia yako na mwenzako kuhusu Kujitunza , ili uweze kuijua mada vizuri.
  • Tumia maneno ambayo Yanajulikana na kila mtu.

Mkojo na kinyesi

Tunapozungumza na watu wengine kuhusu kuruhusu na kuzuia haja, itakuwa jambo la busara kama tuTatumia maneno ambayo kila mmoja anayaelewa vizuri

Maneno sahihi ni ya aina mbalimbali, kulingana na watu wa nchi fulani, utamaduni na mara nyingi Yanaendana na umri fulani.

Majadiliano

Jadili katika kikundi au fikiria mwenyewe kuhusu maneno ambayo ungependa kutumia wakati unapofanya mazungumzo na watu wafuatao  kuhusu haja ndogo na haja kubwa.
Je, utatumia maneno tofauti?

  • Mtoto
  • Mama yako
  • Jirani ambaye ni mzee
  • Rafiki wa karibu.

Jukwaa la majadiliano