Ruka hadi kwa yaliyomo kuu
Uhamaji

Tathmini

Somo: la 2 kati ya masomo 5
Mada: 2 kati ya Mada 4
0% Imekamilika

Kabla ya kuanza kufanya tathmini

Toa maelezo kwa mgonjwa kuhusu viatu tiba vinavyopendekezwa.

viatu tiba vinaweza kuonekana vya ajabu wakati unapovivaa. Watu wanaweza kuvaa viatu tiba pale wanapoelewa sababu ya kuvaa viatu hivyo na kwanini viatu hivyo ni muhimu kwao.

Tenga muda kuwaelezea sababu za kushauriwa kuvaa viatu tiba.

Tathmini ya uhitaji wa viatu tiba

Mara baada ya kuthibitisha kuwa mgonjwa anahitaji viatu tiba, hatua zinazofuata ni pamoja na:

  • Kuangalia kama Matatizo ya miguu
  • kupima ukubwa na urefu wa mguu wa mgonjwa
  • Kuangalia Uwezo wa mgonjwa kuvaa na kuvua viatu kila siku.

Sehemu ya fomu inayohusu tathmini ya uhitaji wa viatu tiba

Kuangalia kama Matatizo ya miguu

Kukagua Matatizo ya mguu ambayo Yanaweza kuathiri kipimo sahihi cha viatu tiba.

Sehemu ya fomu inayohusu ukaguaji wa Matatizo ya mguu.

viatu tiba vinaweza kuvaliwa na watu wenye miguu yenye umbo lisilo la kawaida na/ au Matatizo yamiguu. Hakikisha kiatu kinamtosha vizuri mvaaji

angalia kama kuna Matatizo ya miguu

Kagua: Kagua miguu ya mgonjwa

Tafuta sehemu ya matatizo ya miguu kwenye fomu.

Kagua miguu yote miwili kwa umakini, ilikujua kama kuna:

  • Umbo la mguu au vidole vya mguuni lisilo la kawaida.
  • Matatizo ya ngozi au kucha
  • Maeneo yenye uwekundu
  • Makovu ya majeraha ambayo mtu amewahi kuwa nayo.
  • Maeneo ambayo kiatu kinaweza kusugua.

Haya yote ni mambo Yanayoweza kuongeza hatari ya kusuguana kati ya mguu na viatu. Kugandamiza au kusuguana Kunaweza kusababisha mtu kujisikia vibaya, Maumivu au kidonda.

Mhudumu wa afya Aliyevaa Glavu Wakati wa ameshika na anaangalia mguu wa mgonjwa.

Tazama video hii ili ujifunze namna ya kuangalia kwa umakini miguu ya mgonjwa.

Muulize mgonjwa kuhusu Matatizo ya miguu aliyonayo

Ulizia sehemu ya fomu inayohusika na Matatizo ya kwenye miguu

Uliza: Je, miguu yako inavimba au inabdilika badilika ukubwa kila siku?

Baadhi ya watu wanaweza kupata uvimbe miguuni . Hii inaweza kutokea Wakati wa mchana au uSiku, kulingana na shughuli wazofanya na eneo walilopo.

kama mgonjwa anapata uvumbe mara kwa mara Wakati wa mchana:

  • Pima ukubwa wa miguu yao wakati imevimba

Au

  • Ongeza ukubwa wa viatu ili kuruhusu uwepo wa nafasi ya uvimbe.

Sehemu ya juu ya mguu uliovimba Ikiwa imebonyezwa na kidole

Jiulize: Unavaa vifaa saidizi vya kusaidia sehemu ya kukanyaga ya miguu?

vifaa saidizi vinavyovaliwa kwenye sehemu ya kutembelea ya mguu; vinaweza kupunguza sehemu ya ndani ya kiatu.

kama mgonjwa ana Linki bandia , kivalishe hicho Linki kiatu bandia .

Ili kuwepo kwa nafasi ya kiatu bandia, Unaweza kutWakati wa kutoa kapeti ya ndani ya kiatu tiba.

 Swali

Mgonjwa ameshauriwa kutumia mguu bandia.

Unapaswa:



uko sahihi iwapo umechagua jibu kama "b".

Mgonjwa anapaswa kutumia kifaa saidizi cha miguu kwenye kiatu tiba. Anapaswa kuondoa kapeti ya ndani ya kiatu tiba halafu aweke kifaa saidizi cha miguu badala yake.

Tafuta ukubwa wa miguu

Tafuta sehemu ya fomu inayohusika na ukubwa wa mguu

1. Chora kuzunguka mguu wa mgojwa Aliyeweka mguu wake juu ya karatasi.

Mgonjwa Wakati wa amesimama juu ya karatasi huku mtoa huduma ya afya akichora kuzunguka mguu wa mgonjwa.

Mhudumu wa afya akiMwangalia kwa karibu mtu aliyesimama juu ya karatasi. Mstari uliochorwa kuzunguka mguu wa mgonjwa Unaweza kuonekana vizuri.

2. Kwa kutumia rula, pima upana urefu wa mguu uonaonekana kwenye mchoro.

Mhudumu wa afya akitumia rula kupima upana na urefu wa mguuu aliouchora.

Mhudumu wa afya akitumia rula kupima urefu wa mchoro wa mguu.

3. Rekodi urefu na upana wa kila mguu kwenye fomu.

Mguu ukiwa na mstari uliochorwa katikati ya mguu.

Upana wa mguu

Mguu uliochorwa mstari kuanzia kidole kirefu zaidi hadi mwisho wa kisigino.

Urefu wa mguu

Tazama video hii ili uone namna ya kuchora kuzunguka mguu na kisha kupima ukubwa wa mguu.

Kazi

Fanya mazoezi ya kupima upana wa miguu na urefu kwa kwa kuchora kwa kutumia mbinu iliyoelezwa.

Dondoo:

  • Weka kalamu Ikiwa wima na karibu na ukingo wa mguu wa mtumiaji ili kupata mchoro sahihi.

Mhudumu wa afya akiMwangalia kwa karibu mtu aliyesimama juu ya karatasi. Mstari uliochorwa kuzunguka mguu wa mgonjwa Unaweza kuonekana vizuri.

  • Wakati wa kupima kwa kutumia karatasi, kwa kupima sehemu yenye upana zaidi na ndefu zaidi ya mguu.

Mguu ukiwa na mstari uliochorwa katikati ya mguu.

Upana wa mguu

Mguu uliochorwa mstari kuanzia kidole kirefu zaidi hadi mwisho wa kisigino.

Urefu wa mguu

angalia Uwezo wa mvaaji

Muulize:

  • kama anaweza kuvaa na kuvua viatu vyake mwenyewe?
  • Je, anaweza kushika au kangalia chini ya miguu yake?

angalia sehemu ya fomu inayohusika na Uwezo.

mtu anayevaa viatu hivi, anapaswa kuwa na Uwezo wa kuvaa na kuva viatu vyake, pamoja na kukagua miguu yake, kila siku.

Anaweza kupata taabu kufanya kazi hizi bila ya kuwa na Msaada. ugumu huu Unaweza kusababishwa na:

  • Kutokuweza kufikia miguu yake
  • Amepungua Uwezo wa kusogeza mikono yake.
  • ana matatizo ya uoni.

Ikiwa mtumiaji hawezi kuvaa au kuvua viatu vyake au kukagua miguu yake kwa urahisi, anaweza kuhitaji Msaada kutoka kwa mwanafamilia au mlezi.

Aidha, anaweza kufaidika na rufaa ya ya kwenda kupata vifaa saidizi vingine au kwenda kwa mtaalamu mwingine wa afya.

Swali

Je ni kitu gani kingine Unaweza kupendekeza au kuJadiliana na mhusika ambaye hawezi kukagua cjhini ya miguu yake kwa urahisi ?

Chagua majibu sahihi tu.




Umepatia iwapo umechagua jibu kwa ni a, b na c.

kama mtu hawezi kuangalia miguu yake chini kwa urahisi, yuko katika hatari ya kupata kidonda bila ya kujua. Ni muhimu kuzungumza naye kuhusu uoni wake.

c Sio sahihi.

Ni muhimu kuzungumza na mtu kuhusu Matatizo ya uoni.

Kwa habari kuhusu namna ya kufanya kipimo cha uoni, soma Moduli ya vifaa saidizi vya uoni vya TAP

Chagua viatu tiba unavyotaka kujaribu

Sehemu ya fomu inayohusu kuchagua viatu tiba unavyohitaji kujaribu.

Hatua inayofuata ni kuchagua jozi ya viatu tiba kwa ajili ya mhitaji na kumwambia avijaribu ili kujua kama vinamtosha

Hii ni pamoja na:

  • Chagua aina ya viatu
  • Chagua ukubwa wa viatu.

Chagua aina ya viatu

Kuchagua aina ya viatu itategemea viatu tiba vinavyopatikana.

Aina za viatu tiba vilivyozoeleka ambazo zimeelezewa katika somo la kwanza ni:

  • Kiatu kilichofunikwa
  • Kiatu tiba chenye kisigino kilicho wazi
  • Kiatu tiba ambacho kinachoacha vidole wazi kwa Wakati wa.

Jadiliana na mhusika kuhusu viatu tiba vitakavyoweza kukidhi mahitaji yake.

Kumbuka:

  • viatu vilivyofunIkiwa hutoa ulinzi zaidi, na ni vizuri kutumika kwenye hali ya hali ya hewa baridi. Hata hivyo, yawezekana mtu mwenye mguu wenye umbo lisilo la kawaida akavavivaa kwa taabu.
  • viatu ambavyo vinaacha kisigino wazi au viatu vya wazi vinavyoacha vidole wazi vinaweza kuwa bora katika hali ya hewa ya joto na inaweza kutoa nafasi ya ziada kwa mguu wenye umbo lisilo la kawaida.

Ikiwa kuna nafasi ya kuchagua rangi, muulize mhusika aina ya rangi ambayo angependelea.

Chagua ukubwa wa viatu

Tumia vipimo vya mguu na mwongozo wa ukubwa kutoka kwa muuzaji ili kutambua ukubwa wa kiatu ambacho mhitaji anaweza kujaribu.

Chagua ukubwa wa kiatu kwa ajili ya mguu mkubwa. Hata hivyo, kama ukubwa wa kila mguu unatofautiana kwa mara 2 au zaidi na ukubwa mwingine, Fikiria kuwa na viatu vyenye ukubwa tofauti kwa kila mguu.

 Swali

Pamoja na vipimo vya mguu wa mgonjwa, je ni kitu gani kingine ambacho kinachoweza kuathiri ukubwa wa kiatu?

Chagua majibu sahihi tu.




Ukichagua a, c na d, uko sahihi. Mtu anaweza kuhitaji ukubwa mkubwa ikiwa:

  • Anavimba miguu mara kwa mara.
  • Anavaa kifaa saidizi cha mguuni
  • ana umbo la mguu lisilo la kawaida.

Ukubwa wa kutosha utaruhusu uwepo wa nafasi ya kutosha ya uvimbe, kifaa saidizi cha mguni au umbo la mguu wa mvaaji wa kiatu

Jibu la b sio sahihi. Kiatu ambacho ni kikubwa sana hakitatoa kiwango sawa cha Msaada na ulinzi kama kiatu kinachomtosha vizuri mvaaji.

Chagua rangi ya viatu

kama kuna rangi tofauti kwa Aina tofauti na ukubwa tofauti wa kiatu, basi mpe mhitaji uhuru wa kuchagua rangi anayopendelea.