Utangulizi wa hatua Nne za utoaji wa huduma

Maendeleo ya usoMaji Mada:

Vifaa saidizi vinahitaji kugawiwa katika mpangilio maalum.

TAP inatambulisha hatua Nne muhimu za ugawaji salama na wenye ufanisi wa vifaa saidizi . Kwa pamoja, hatua hizi husaidia kuhakikisha kwamba mhitaji:

  • anapata kifaa kinachofaa sawia na mahitaji yake, kutoka kwenye vifaa vilivyopo.
  • ana taarifa na ujuzi wa kutunza na kutumia vizuri kifaa saidizi chake na kwa usalama
  • anapata Msaada wa kufatiliwa ili kuhakikisha kuwa kifaa saidizi chake kinakidhi mahitaji yake au kinabadilishwa pale inapobidi.

Hatua Nne za utoaji wa huduma ya vifaa saidizi ni:

  1. Chagua kifaa ambacho kinakidHabari maHabaritaji ya mhusikamiaji.
  2. Tafuta kipimo sahihi cha kifaa saidizi.
  3. Mfundishe mtumiaji namna ya kutumia na kutunza kifaa saidizi.
  4. Kufuatilia,ikiwa ni pamoja na matengenezo ya msingi na utunzaji wa kifaa saidizi.

angalia video Inayofuatia ili kuona hatua Nne zinavyochukuliwa.

Jukwaa la majadiliano