Kusimamia shughuli za Kujitunza
Mtoto, mtu mzima au mzee mwenye shida kwenye:
- Stadi za kimaumbile na / au
- Stadi za kufikiri na / au
- Kuzuia na kuruhusu Mkojo na haja kubwa
unaweza kuwa na shida katika eneo moja au zaidi la Kujitunza
Wafuatao ni baadhi ya wahusika ambao wana matatizo katika Kujitunza.
Kutana na Ronin
Ronin ni kijana ambaye hivi karibuni alipata ajali.
Amevunja mkono wake wa kushoto na mguu wa kushoto. Hawezi kusimama kwa kutumia mguu wake wala hawezi kutumia mkono wake hadi hapo mifupa yake itakapopona.
Anahitaji Msaada wa kufika msalani, kuoga na kuvaa nguo wakati mifupa yake ikipona .
Swali
Je, matatizo ya Ronin kuhusu Kujitunza ni ya kudumu au ya Muda mfupi?
Ni ya Muda mfupi, kwani ataweza kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa uhuru mara tu majeraha yake yatakapopona.
Kutana na Samweli
Samuel ni kijana mwenye ugonjwa uitwao Down syndrome. Anapata taabu kufanya kazi za mikono; kama vile kufunga vifungo vya nguo na kamba za Viatu. katika somo lifuatalo; utajifunza aina ya vifaa saidizi vya Kujitunza ambavyo Samwel anatumia ili vimsaidie katika kazi hizi.
Sio kila wakati Samweli anaKumbuka kufanya shughuli zake za Kujitunza. Anatumia ubao mweupe nyumbani, na ana programu ya simu ya mkononi kumsaidia KuKumbuka mambo anayohitaji kufanya.
Swali
Samweli anatumia ubao mweupe kufanya nini?
Samweli anatumia ubao mweupe kumsaidia KuKumbuka shughuli za Kujitunza ambazo anapaswa kuzifanya.
Kutana na Aida
Aida alikuwa na ugonjwa wa kiharusi. Ugonjwa huu umesababisha udhaifu upande wa kushoto wa mwili wake.
Anapata taabu kutembea, kusimama imara bila kuyumba na kutumia mkono wake wa kushoto. Anatumia fimbo ya kuteWakati waa kutoka eneo moja kwenda jingine.
Aida anaweza kuhisi pale anapohitaji kwenda msalani. Hata hivyo, anapata taabu kwenda msalani kwa haraka inavyotWakati wa. Anahitaji Msaada kuweza kukaa chini kwenye kiti saidizi cha msalani na baadaye kuweza kusimama. Pia hupata taabu kwenye kuoga na kuvaa . Binti yake humsaidia katika shughuli nyingi zinazohusu Kujitunza.
Swali
Kwa nini Aida anaona anapata taabu kufika msalani?
Aida anapata taabu kufika msalani kwa sababu anatembea kwa shida. Ana shida kwenye kutembea.
UnamKumbuka Yensen?
Jensen ana umri wa miaka 60 na ana ugonjwa wa kisukari. Jensen hana hisia kamili katika miguu yake na anatumia fimbo ya kuteWakati waa.
Hapati ishara za mwili kwenda msalani na ameanza kutokwa na Mkojo. Aidha anahisi kuwa haja kubwa haijAISHA vizuri inavyotWakati wa pale anapokwenda msalani.
Jensen hupata taabu kwenye kufunga zipu na vifungo vya nguo Wakati wa kuvaa nguo. Utaendelea kujifunza mengi zaidi katika zomo lifuatalo linalohusu vifaa saidizi vya Kujitunza.
Swali
Kwa nini Jenson hawezi kujisadia vizuri kama inavyotWakati wa?
Jenson hapati ishara za kimwili ili aweze kwenda msalani. Pia anapata taabu kujisaidia vizuri kama inavyotWakati wa.
Mapungufu kwenye Kujitunza Yanaweza kusababisha matatizo kwa watu kwa namna mbalimbali.
Majadiliano
Jadili na wenzako au chapisha kwenye jukwaa la majadiliano baadhi ya njia ambazo ugumu wa kujitunza unaweza kuathiri maisha ya mhusika.
Zifuatazo ni baadhi ya athari za kawaida za kushindwa Kujitunza. Aidha kuna uwezekano kuwa kuna athari nyingine ambazo ni mahsusi kwa watu walio katika jamii yako.
Athari za kushindwa Kujitunza:
- Baadhi ya watu hupata aibu kwa vile wanahitaji Msaada
- Inachukua Muda mrefu kukamilisha jambo kwa mhitaji na kwa mwanafamilia kuweza kujifanyia jambo lake binafsi. Hii husababisha uwepo wa Muda mfupi sana kwa ajili ya kufanya mambo mengine
- Baadhi ya watu husoneneka kwa aibu kubwa pale wanapotokwa na Mkojo au haja kubwa.
- Baadhi ya watu huishia kutengwa au kutokujumuishwa kwenye mambo ya kijamii. Hawawezi kushiriki kwenye kazi za shule, na mAISHA mengine ya kijamii
- Kuna gharama kubwa kwa watu binafsi na familia zao, kwa sababu ya uhitaji wa kununua bidhaa nyingine za ziada, au kupoteza kipato kupitia mtu ambaye hawezi kufanya kazi au mwanafamilia anayetumia muda mwingi kuwasaidia badala ya kujitafutia yeye mwenyewe kipato zaidi.
Ili kuwa na mAISHA bora ni muhimu Kujitunza kukiwa rahisi kwa kadri inavyowezekana.
Endelea kusoma zaidi ili kuona njia Tatu kuu ambazo zinaweza kufanya Kujitunza kuwa rahisi
1. tumia vifaa saidizi vya Kujitunza
Vifaa saidizi vya Kujitunza vinaweza kufanya kujihudumia na kuhudumiwa na mwanafamilia au walezi kuwa rahisi
Utajifunza zaidi kuhusu Aina tofauti za vifaa saidizi katika somo linalofuata.
2. Endana na mazingira
UnamKumbuka Petro?
Petro ana jeraha kwenye uti wa mgongo, na amepooza (hawezi kusogeza viungo vyake) sehemu ya chini ya Kiuno chake. Ana mikono imara na anaweza kusimama bila kuyumba. Anaweza kuzunguka kwa kujitegemea kwa kutumia kiti saidizi chake chenye magurudumu.
Petro ana njia nzuri na kifaa saidizi cha kupanda ngazi ndani ya bafuni yake ili aweze kutumia bafuni kwa kujitegemea bila ya Msaada wowote.
Mlango wa bafu una upanda wa kutosha kwa kiti saidizi chake chenye magurudumu kuweza kupita, na kuna nafasi ya kutosha kwake kugeuka Wakati wakati wa ndani.
3. Badilisha namna Kujitunza kunavyofanywa
Kutana na Aleisha
Aleisha ana mtindio wa ubongo na anaratibu mambo yake kwa taabu na hawezi kuratibu kusogea au kusimama kwake. Anatumia kifaa saidizi cha kuteWakati waa kinachowekwa kwa Wakati wa ili aweze kusogea hapa na pale.
Aleisha anafanya mambo mengi ya Kujitunza mwenyewe kama anavyoweza kwa Msaada kutoka kwa mama yake pale anapohitaji.
Anakaa kwenye kigoda ili aweze kuvaa nguo, na ana kigoda kingine kwa karibu pamoja na nguo zake. Aidha, anatumia nguo ambazo ni rahisi kuzichukua na kuzivaa na kuzivua
Umekamilisha Somo la kwanza!
Ikiwa una Maswali au maoni yoyote, Tafadhali yaandike kwenye jukwaa la majadiliano.