Waratibu wa TAP

Waratibu wa TAP ni akina nani?

Waratibu wa TAP ni watu wenye jukumu la kuanzisha na kutumia TAP katika huduma zao, eneo lao au nchi yao.

Waratibu wanaweza kuwa:

  • Wasimamizi wa mradi
  • Wasimamizi wa huduma
  • Waratibu wa mafunzo.

Wanaweza kuwa wanatumia TAP kwa sababu tofauti, kama vile:

  • Kuongeza uelewa wa vifaa saidizi na namna vinavyoweza kugawiwa
  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi kugawa vifaa saidizi
  • Kujumuisha vifaa saidizi katika afya, mazoezi ya viungo au mafunzo mengine.
Mwanamke anashikilia chati ya kielektroniki, akiielezea kwa kundi la watu waTatu wanaosikiliza kwa makini.

Ukurasa huu ni kwa ajili yako kama wewe ni Mratibu wa TAP.

Kwenye Ukurasa huu utapata taarifa na rasilimali za kukusaidia:

Tafadhali Kumbuka, baadhi ya rasilimali zinazosaidia Waratibu zinapatikana kwa Kiingereza tu kwa sasa.

Fomu na nyaraka za TAP

Moduli za TAP zinaweza kujumuisha fomu na nyaraka kama vile:

  • Orodha ya maneno muhimu
  • Jumbe muhimu
  • Fomu za tathmini
  • Fomu za Rufaa
  • Orodha ya rasilimali

kama mratibu, unaweza pia kupata nyaraka zingine kama vile:

  • Orodha ya stadi
  • Maelekezo ya wASHAuri

Unaweza kupata fomu zote za kila moduli kwa kubofya kitufe hapa chini.

Kuanza kutumia TAP

taarifa ya awali na umuhimu wa kuwa na TAP

  • kuhusu TAP: Jifunze zaidi kuhusu malengo na maendeleo ya TAP.
  • Kutumia TAP: Jifunze namna maudhui ya TAP yAlivyotengenezwa na kuonyeshwa kwa wASHAbaririki wa mafunzo.
  • Muhtasari wa TAP: Tazama slaidi Habarizi za uwasilishaji kwa muhtasari kamili wa TAP. SHabaririki na Wanachama wa timu na wadau wanaofanya kazi na wewe kwenye Mradi wako wa TAP.

Kupitia mada kwenye jukwaa la TAP

Mfululizo huu wa video unaonyesha mchakato wa kutambulisha, kusajili na kujifunza kwa kutumia TAP:

  1. Utangulizi
  2. Kujisajili
  3. Ingia kwenye mtandao
  4. Anza kujifunza
  5. Endelea kujifunza.

Kufanya Mpango wa Mradi wa TAP

TAP ni rasilimali rahisi ya mafunzo ambayo inaweza kutumika kwa njia tofauti. Ni muhimu kuwa na mpango uliotengenezwa kuwa kuzingatia vitu vingi na kushauriana pamoja na wadau wote. Mpango huu Unapaswa kueleza namna TAP itakavyotumika katika eneo lako ni muhimu.

Mpango wa Mradi wa TAP unaweza kuwa sehemu ya mpango mkubwa wa kuimarisha huduma za afya, huduma ya mazoezi ya viungo na teknolojia saidizi kwa ujumla katika nchi au kanda.

Kundi la watu 11 wWakati wa wameketi katika duara. Wengine wanashikilia maelezo wAliyoandika na kalamu. Mjadala unaendelea kati ya wachache, wengine wanasikiliza kwa makini.

Mpango wa Mradi wa TAP Unapaswa kutoa taarifa kuhusu kila moja ya mada zifuatazo:

  • Matokeo: Matokeo (matokeo) Yanayotarajiwa
  • Wadau: Wadau watakaosHabaririkishwa, majukumu na michango yao
  • MahAli: Eneo (eneo au ncHabari) na muktadha wa teknolojia saidizi
  • WASHAbaririki wa mafunzo:   Hawa ni akina nani, na watatarajiwa kujua nini na kufanya nini baada ya TAP
  • Moduli: Ni moduli gani za TAP zitaHabaritajika kufikia matokeo Yanayotarajiwa
  • WASHAuri: Nani atawASHAuri wanafunzi kuendeleza ujuzi wao (competencies)
  • RasilimAli: RasilimAli ambazo zitaHabaritajika kUwezo mafunzo ya TAP na wapi raslimAli Habarizi zitatoka
  • Ratiba: Ratiba ya utekelezaji wa mafunzo pamoja na tarehe za kukamilisha hatua muHabarimu
  • Bajeti na vyanzo vya fedha: Bajeti inayoelezea gharama na fedha kwa ajili ya utekelezaji wa TAP
  • Ufuatiliaji, tathmini na kujifunza: Nini wadau wangependa kujifunza kutoka kwenye mradi wa TAP, taarifa zitakazokusanywa Wakati wa mradi ili kuweza kujibu maswAli haya katika tathmini ya mwisho, na nani anawajibika.

Endelea kusoma ili kujua zaidi kuhusu kila moja ya vipengele hivi.

Matokeo

Kupanga kwenye TAP huanza na wadau wanaofanya kazi kwa pamoja kufafanua matokeo Yanayotarajiwa. Kwa maneno mengine, ni nini ambacho kila mtu anatarajia kukipata kupitia utekelezaji wa TAP

Matokeo Yanayotarajiwa Yanapaswa kuwa taarifa ambayo ni mahususi, inayoeleweka na iliyokubaliwa na wadau wote. Mradi mkubwa wa TAP unaweza kuwa na matokeo aina mbali mbali.

Matokeo Yanayotarajiwa ambayo yamelezwa vizuri yatajulisha umma mpango wa mradi wa TAP, ikiwa ni pamoja na nani anahitaji kushirikishwa na kwa namna gani, mahitaji ya mshiriki wa mafunzo, moduli gani na rasilimAli gani zitahitajika.

Mifano

"Kupitia TAP, wauguzi katika vituo kumi vya huduma za afya vya msingi vilivyochaguliwa watachunguza vifaa saidizi, kugawa vifaa rahisi wenyewe, na kujua ni mtu gani wa kumpa Rufaa kwenda kuonana na wataalam wengine."

"Kupitia TAP, wahitimu wa kozi yetu ya uhudumu afya katika ngazi ya jamii watajulishwa vifaa saidizi ambavyo watu Wanaweza kufaidika navyo na hatua zinazohusika katika kuvigawa.

Wadau

Wadau ni watu binafsi na mashirika ambayo yatahusika au kuathiriwa na Mradi wako wa TAP.Wadau hawa huenda wakajumuisha:

  • Wizara za Afya, Elimu, Ustawi wa Jamii na Wizara nyingine husika
  • Watu wanaotumia vifaa saidizi na mashirika yao ya uWakilishi kama vile Mashirika ya Watu wenye Ulemavu (DPOS / OPDs), Wazee, watu wenye mahitaji maalum ya afya
  • Afya, huduma ya mazoezi ya viungo na watoa huduma za vifaa saidizi ikiwa ni pamoja na mashirika ya serikali, yasiyo ya serikali au binafsi
  • Mashirika Yanayohusika katika utratibu wa Rufaa kwenda kwenye watu wanaotumia vifaa saidizi, ikiwa ni pamoja na wale ambao wanaweza kutambua wahitaji na kuwapa Rufaa kwenda kupata  vifaa saidizi au wale wanaopokea Rufaa zaza kutoa vifaa saidizi au huduma zinazohusiana na hicho.
  • taasisi za mafunzo.

Ugawaji wa vifaa saidizi unahitaji ushirikiano, ushirikiano na uratibu wa wadau wengi. Nukuu iliyozungukwa  kwa alama za watu wenye rangi tofauti

Picha ya Motivation Australia kwa Miongozo ya Kitaifa juu ya ugawaji wa vifaa saidizi nchini Papua Guinea Mpya.

Kutambua na kushirikiana na wadau wote mapema. tumia slaidi za uwasilishaji wa muhtasari wa TAP (pdf) kushirikishana taarifa kuhusu TAP na wadau. Ongeza slaidi za ziada ili kuwasiliana na kujadili mawazo ya kutumia TAP katika eneo lako.

Pamoja na kushirikisha wadau katika kufafanua matokeo Yanayotarajiwa, kujadili majukumu na michango ya kila mdau. Kwa mfano, wadau wanaweza:

  • Kutoa rasilimali kusaidia kuendesha mafunzo ya TAP
  • Kutoa utaalamu wa kuwASHAuri washiriki wa mafunzo wakati na baada ya moduli za TAP mtandaoni
  • Kuwa na utaalamu maalum katika tathmini
  • Kuwa sehemu ya njia ya Rufaa  ya kupata vifaa saidizi au huduma zingine zinazohusiana na hiyo

Mahali

Ni muhimu kuelewa muktadha wa teknolojia ya vifaa saidizi katika eneo lako na kuhakikisha kuwa Mpango wako wa Mradi wa TAP unazingatia hili. Mpango wako wa Mradi wa TAP Unapaswa kuendana na:

  • Mikakati ya kitaifa, sera, mipango, vipauWakati wa au kanuni za huduma za afya na ununuzi wa vifaa saidizi na ugawaji wake.
  • Upatikanaji wa huduma za mazoezi ya viungo, matibabu na nyinginezo ambazo mtu anaweza kupata kupitia Rufaa
  • Mambo ya kiutamaduni, kijiografia, kijamii, kiuchumi na mengine Yanayoweza kuathiri mafunzo au huduma.

Chombo cha Tathmini ya Uwezo cha WHO (ATA-c\) kinaweza kusaidia kuongeza ufahamu na uelewa wa mazingira ya teknolojia ya vifaa saidizi katika nchi au eneo walipo wadau. Kwa habari zaidi wasiliana na Timu ya Teknolojia ya vifaa saidizi vya WHO kupitia [email protected].

Washiriki wa mafunzo

Mpango wa Mradi wa TAP Unapaswa kuanisha washiriki wa mafunzo ikiwemo kujua kama ni washiriki wa mafunzo ambao wako vyuoni au wale walioko makazini ( na hawa wanalipwa au wanajitolea\).

  • taarifa ya mshiriki wa mafunzo inapaswa kuonyesha kile anachosoma, na namna TAP inavyoendana na mafunzo anayoyafanya
  • Wafanyakazi wanapaswa kuonyesha sehemu wanapofanya kazi, na namna ujifunzaji wa TAP utakavyotumika mahali pao pa kazi.

taarifa hii inahitajika ili kuamua ni moduli gani za TAP atasoma, na ni Msaada gani washiriki wa mafunzo wanaweza wanaweza kuhitaji wakati na baada ya kumaliza mafunzo.

Mpango wa Mradi wa TAP pia Unapaswa kutambua idadi ya Washiriki wa mafunzo ili kupanga rasilimali na bajeti ya mafunzo inayohitajika.

Ikiwa Mradi wako wa TAP ulanalenga wafanyakazi wanaotoa mafunzo, husisha wasimamizi wa huduma katika kupanga. Wasimamizi wa huduma wana jukumu muhimu katika mafanikio na matokeo chanya ya Muda mrefu ya Mafunzo ya TAP. Wasimamizi wa huduma wanawajibika kwa:

  • Kuchagua, kuidhinisha na kuruhusu wafanyakazi kwenda kwenye mafunzo
  • Kupanga namna ambavyo majukumu katika huduma zao yatakavyotekelezwa Wakati washiriki wa mafunzo watakapokuwa wakiendelea na mafunzo yao.
  • Kusaidia washiriki wa mafunzo kufanya mazoezi kwa vitendo ya mambo waliojifunza , na
  • Kukaribisha wASHAuri kuteWakati waa huduma yao ili kusaidia washiriki wa mafunzo.

Wasimamizi wa huduma pia watawajibika kuendeleza huduma zao kwa ujumla ili kusaidia shughuli za AT. Kwa mfano wanaweza kuhitaji kufanya marekebisho kwenye majukumu ya wafanyakazi, kuhakikisha usalama na kusimamia fedha na rasilimali za AT, kupanga upya sehemu ya kutolea huduma, kuanzisha mfumo wa Rufaa na mifumo mingine.

Moduli

Washiriki wa mafunzo wote wa TAP wanapaswa kusoma Utambulisho wa moduli ya Vifaa saidizi kwanza. Moduli hii hutoa taarifa muhimu ambazo washiriki wa mafunzo wanahitaji kabla ya kuanza kusoma moduli zingine.

Baada ya Utambulisho wa Vifaa Saidizi, TAP imeandaliwa katika maeneo sita. Maeneo haya ni: Utambuzi, Mawasiliano, Kusikia, Uwezo wa kuhama, Kujitunza, Uoni.

Wasimamizi wanahitaji kuchagua moduli ya utangulizi wa moduli/ s ikifuatiwa na moduli za vifaa saidizi ambazo washiriki wa mafunzo watasoma, kulingana na matokeo Yanayotarajiwa ya kutumia TAP.

Baadhi ya moduli ni ngumu zaidi kuliko ,moduli nyingine. Washiriki wa mafunzo wanaweza kuhitaji maarifa zaidi ya waliokuwa nayo awali, muda zaidi, na / au usimamizi zaidi ili kuwa na Uwezo katika mambo wanayofundishwa kupitia moduli ngumu zaidi. katika picha iliyoonyeshwa hapa, moduli ngumu zaidi zina mpaka wenye rangi ya chungwa.

Muundo wa moduli ya TAP

Bado moduli zote za TAP hazijawekwa kwenye mtandao. Wasiliana na Timu ya Teknolojia ya Vifaa saidzi ya WHO kupitia[email protected] ili kupata taarifa kuhusu  taarifa za maendeleo ya moduli

WASHAuri

Wakati TAP inatumika kuongeza ujuzi (competencies) wa wafanyakazi, Ni muhimu kufanya mazoezi chini ya usimamizi wa mshauri . Kutengeneza Mpango wa Mradi wa TAP kunahusisha kuainisha wASHAuri wenye ujuzi sahihi wa kusaidia washiriki wa mafunzo Wakati wa mafunzo ya mtandaoni na baadaye Wakati wa kujifunza kwa vitendo mahali pa kazi.

Kulingana na moduli zitakazotumika, utaalamu tofauti unahitajika ili kutoa ushauri. Kwa mfano, kwa moduli za uoni, mshauri anapaswa kuwa na uzoefu katika uchunguzi wa uoni na vifaa saidizi vya uoni.

Mwanamke AliyevAlia sare ya watoa huduma ya afia akitembea kwa kutumia fremu ya kuteWakati waa. Mwanamke mwingine ameweka mkono wake kwenye fremu ya kusaidia kutembea Wakati wa anaangAlia kwa karibu. Mwanaume anasimama pembeni pia anaangAlia zoezi linalofanyika.

WASHAuri wanaweza kutoka katika huduma za ngazi ya juu kama vile huduma ya mazoezi ya viungo, huduma ya matibabu ya macho au masikio, taasisi za mafunzo, au taasisi zisizo za serikali.

Ili Kutoa msaada unaofaa, mtandaoni na kibinafsi, washauri wanahitaji muda wa kutosha kujiandaa. Hii ni pamoja na muda wa kutosha kukamilisha moduli za TAP ambazo watakuwa wakisaidia washiriki wa mafunzo kujifunza.

Jukumu la wASHAuri Wakati wa mafunzo ya mtandaoni ni pamoja na:

  • Kuandaa vifaa saidizi na rasilimali zingine zinazohitajika kusoma kila moduli
  • Kutengeneza ratiba ya mafunzo inayoanisha mambo yote kwa kina (mara nyingi kwa kushirikiana na wasimamizi wa TAP)
  • Kutoa Msaada, kujibu maswali na kuwezesha majadiliano kwa kadri washiriki wa mafunzo wanavyoendelea kusoma moduli zao.
  • Kuanzisha vipindi ambavyo washiriki wa mafunzo wanasimamiwa kwa ajili ya kufanya mazoezi na kujenga ujuzi (kama vile uigizaji)
  • Ufuatiliaji na kutathmini Uwezo kwa kutumia orodha za za stadi za TAP.

WASHAuri hawatakiwi kuandaa au kutoa mafunzo, kwani maudhui ya mafunzo hutolewa kupitia jukwaa. Jukumu lao ni kutumia nyenzo za kusoma ambazo zimeandaliwa na kushauri wanafunzi wapya.

Wakati wa kujifunza kwa vitendo kunakosimimiwa na wASHAuri; wASHAuri wanapaswa kuangalia kwa makini na kusaidia wafanyakazi Wakati wakijenga ujuzi wao hadi watakapokuwa na Uwezo wa kufanya mazoezi kwa kujitegemea. WASHAuri wanaweza kutumia orodha za stadi za TAP kujenga Uwezo wao wa kushauri , kutathmini maendeleo ya washiriki wa mafunzo, na kuwapa mrejesho wanafunzi, mtandaoni.

Rasilimali

Rasilimali za kujifunzia

Kwasa mafunzo ya TAP Yanapatikana mtandaoni tu. Wanafunzi wote watahitaji kompyuta iliyounganishwa na mtandao, kishikwambi au simu janja. Wanafunzi pia watahitaji nafasi yenye utulivu kusoma moduli na na kujifunza kwa vitendo. Hii inaweza kuwa darasa, chumba cha Majukwaa au eneo lingine tulivu.

Kila mara Fikiria mahitaji ya upatikanaji wa vifaa saidizi kwa washiriki wa mafunzowakati unapochagua sehemu ya kufanya mafunzo, Fikiria uwezekano wa wanafunzi kuingia ukumbini na maeneo mengine ya kujifunza pamoja na bafuni na uani.

Rasilimali za moduli

Rasilimali za moduli zimeorodheshwa mwanzoni mwa kila moduli kwenye jukwaa, na pia katika maelezo ya wASHAuri. Kulingana na kila moduli, rasilimali zinazohitajika zitakuwa pamoja na:

  •  Sampuli za vifaa saidizi (pdf), pamoja na vipuri na zana za msingi za kukusanya na / au kufanya mazoezi kwa vitendo mdogo kwa bidhaa. Kwa kweli Habarizi zinapaswa kuwa anuwai ya bidhaa ambazo wanafunzi watakuwa nazo katika mahAli pao pa kazi.
  • Fomu na nyaraka za TAP, ambazo zinapaswa kuchapishwa na kugawiwa kwa wanafunzi kwenye folda. Nyaraka Habarizi ni pamoja na fomu za uchunguzi na tathmini kwa vifaa saidizi tofauti , pamoja na maneno muHabarimu na ujumbe muHabarimu. Ni matumizi katika moduli zote. WASHAbaririki wa mafunzo wanaHabaritaji nakala ya fomu Habarizi wanaposoma kila moduli. Baada ya mafunzo, huduma zinaweza kuboresha au kubadilisha fomu Habarizi ili kuendana na mazingira yao ya kazi.
Nyaraka chache zimekusanywa na kuhifadhiwa kwenye folda lenye chapa ya neno TAP.

Kuna zana za ziada za TAP na rasilimali kwa wasimamizi na wASHAuri ambazo wanaweza kuzitumia, kuweka mpango na kufanya mafunzo. Utajifunza zaidi kuhusu hivi vitendea kazi katika sehemu inayofuata.

Ratiba

Mpango wa Mradi wa TAP unahitaji ratiba hAlisia ambayo inaruhusu muda wa:

  • Kushauriana na wadau wote ili kuthibitisha matokeo Yanayotarajiwa, huduma zitakazoshiriki na washiriki wa mafunzo, moduli zitakazosomwa, wASHAuri wanaohitajika na rasilimali za kujifunza ambazo zitatumika.
  • Hakikisha idhini muhimu kutoka kwa mamlaka zote husika zinapatikana ikiwa ni pamoja na Wizara ya Afya, vyombo vinavyohusika na mafunzo, mameneja ambao watahitaji kuwaruhusu wafanyakazi washiriki pamoja na watu wengine.
  • Kununua vifaa kwa ajili ya mafunzo, na kusambaza bidhaa ili kuanzisha huduma (ikiwa Hii ni matokeo Yanayotarajiwa ya mafunzo). Ununuzi unaweza kuchukua miezi, kulingana na upatikanaji na mahitaji ya kuagiza.
  • Kulipia ukumbi wa mafunzo, ikiwa washiriki wa mafunzo watakuwepo kwa ajili ya mafunzo.
  • Safiri na fanya mipango mingine ya vifaa, na uhakikishe kuna mtandao wa kutosha. Kufanya mipango ya usafiri na mingineyo na kuhakikisha kunakuwepo huduma ya mtandao 
  • Andaa wASHAuri (angalia sehemu inayojulikana kama Kujiandaa kwa mafunzo ya TAP).

Chati rahisi ya Gantt inaweza kuwa muhimu kwenye kupanga hatua tofauti, ili kila mtu aweze kuona ratiba, tarehe muhimu na ni nani anayewajibika au kuhusika katika kila kazi.

Bajeti na fedha

Kila bajeti ya utekelezaji wa TAP itatofautiana, kulingana na sababu tofauti, kama vile: idadi ya washiriki wa mafunzo, idadi ya moduli, mahali ambapo mafunzo yatafanyika na mambo mengine.

Baadhi ya vitu vya kuFikiria Wakati wa ufanyaji bajeti ni:

Vifaa vya mafunzo na bidhaa za kutumia

  • Kukodisha au kununua kompyuta au kishikwambi: kompyuta 1 kwa washiriki 2 wa mafunzo, au kishikwambi 1 kwa kila mshiriki wa mafunzo
  • Uchapishaji wa fomu na nyaraka: kwa Wastani kurasa 5 zimechapishwa kwa kila moduli kwa kila mwanafunzi
  • Folda kwa washiriki wa mafunzo: folda moja na karatasi za kutenga kwa kila mshiriki wa mafunzo kama itawezekana
  • Upatikanaji wa mtandao: kama vile matumizi ya data, uwekaji wa mtandao usiohitaji waya

Ukumbi wa mafunzo na mipango ya kuendesha mafunzo

kama mafunzo yatafanyika sehemu moja ya kati, hapa chini Tafadhali angalia baadhi ya vitu vinavyopaswa kuzingatiwa kwenye bajeti:

  • Gharama za usafiri (usafiri, malazi ikiwa Yanahitajika, hela ya kujikimu kwa Siku)
  • Kukodisha ukumbi
  • Chakula na viburudisho.

Ununuzi wa vifaa saidizi

Upatikanaji wa vifaa saidizi na vipuri ni muhimu kwa washiriki wa mafunzo kufanya mafunzo kwa vitendo Wakati wakijifunza TAP. Pale itakapowezekana, bajeti ya sampuli za vifaa vya kutumia Wakati wa mafunzo ya kwenye mtandao,akiba ya vifaa saidizi kwa ajili ya washiriki wa mafunzo kujifunza kugawa baada ya kumAliza mafunzo.

Kwa mwongozo juu ya idadi ya vifaa saidizi ambavyo vinaweza kuhitajika kwenye mradi wako wa TAP, wasiliana na Timu ya Teknolojia ya vifaa saidizi vya WHO kupitia barua pepe: [email protected].

Rasilimali watu

Bajeti yako ya TAP inaweza kujumuisha fedha kwa timu ya utekelezaji wa TAP na wASHAuri, kulingana na mazingira yako ya kazi. Zingatia:

  • Usimamizi na / au Msaada wa utawala
  • Ada ya kumlipa mshauri.

Ufuatiliaji, tathmini na Kujfunza

Ufuatiliaji ni mchakato wa kuangalia kwa karibu mradi ili kusaidia kuhakikisha kuwa unaendelea Wakati wa. Ufuatiliaji pia ni pamoja na kukusanya taarifa katika kila wakati / muda uliopangwa wakati mradi, kitu ambacho kinaweza kuchangia kwenye tathmini ya mwisho ya matokeo ya mradi.

Tathmini ni mchakato wa kukusanya na kuandaa taarifa kuhusu matokeo ya mradi Wakati wa kuhitimisha mradi. Hii ni pamoja na kuzingatia na kuandika mambo waliyojifunza kwa ajili ya mradi wa baadaye.

Ufuatiliaji, tathmini na kujifunza ni mchakato shirikishi. Mpango wa ufuatiliaji, tathmini na kujfinza umeandaliwa vyema kwa kutumia maoni kutoka kwa wadau wote wa mradi ili kuhakikisha kuwa lengo linakidhi mahitaji na vipauWakati wa vya kila mtu.

Wakati wa kuandaa hitimisho na kutambua mambo ambayo washiriki wa mafunzo wamejifunza kutoka kwenye mradi ni muhimu kuthibitisha matokeo na wadau muhimu ikiwa ni pamoja na pale ambapo wafanyakaziwamempapta mafunzo, watumiaji wa huduma za vifaa saidizi, mameneja wa huduma na wengineo.

Mambo machache ya kuzingatia Wakati wa kuandaa mpango wa ufuatiliaji, tathmini na kujifunza ni:

  • Panga kwa ajii ya tathmini ya mradi mwanzoni mwa mradi. taarifa zinahitajika kukusanywa katika kipindi chote cha mradi ili kuwepo na takwimu za uhakika za kutumia kwa ajili ya tathmini. Hii inahitaji kupangwa mapema na rasilimali zitengewe ili kuhakikisha kuwa vitendea kazi vya taarifa vinatengenezwa na vinapatikana, na watu wanafundishwa na wanawajibika kukusanya taarifa.
  • Kazi ya Ufuatiliaji na tathmini huchukua muda na rasilimali. Weka KipauWakati wa na elekeza rasilimali kwenye kitu ambacho ni muhimu zaidi, kitu ambacho kinaendana na kazi za wadau walioshiriki mafunzo.
  • Pale itakapowezekana, weka zana za taarifa pamoja na na mifumo iliyopo. Kwa mfano:
    • Ili kukusanya taarifa kuhusu washiriki wa mafunzo, tumia usajili wa mtandaoni wa TAP, uandikishaji na mfumo wa maoni
    • Ili kukusanya taarifa kuhusu watu wanaoweza kutumia vifaa saidizi, jadili utunzaji wa kumbukumbu zilizopo katika maeneo ya huduma ili kuona kama hii itatoa taarifa inayohitajika au inaweza kuongezwa badala ya kuanzisha kitu kipya.

Kuna njia nyingi za kutengeneza tathmini ya mradi. Kifaa cha mpango cha tathmini kimetengenezwa kusaidia timu za mradi na wadau kuainisha na kuweka kumbukumbu ya:

  • Nini kitu gani ambacho kila mtu angependa kujifunza kutoka kwenye mradi (maswali ya utendaji au tathmini)
  • Namna ambavyo hiyo itapimwa (malengo Yanayoendana\)
  • Kile ambacho tayari kinajulikana, kusaidia kuanzisha 'sehemu ya kuanzia'ambayo tutaitumia kupima mabadiliko yaliyotokea (taarifa za msingi )
  • Namna ambavyo taarifa inayohitajika itakavyokusanywa wakati, Mara ngapi (mbinu za kukusanya taarifa / zana na Mara ngapi hilo zoezi litafanyika\)
  • Nani anawajibika (mipango, rasilimali, majukumu).

Hapa kuna mfano wa nyaraka ya Mpango wa Mradi wa TAP, ambayo inaweza kubadilishwa kulingana na mhitaji.

Kujiandaa kwa ajili ya mafunzo ya TAP

Mara baada ya Mpango wa Mradi wa TAP kukubaliwa na wadau wote na kupata uFadhili, maandalizi ya kina zaidi Yanaweza kuanza. Kila mradi ni tofauti, hata hivyo Hapa chini kuna baadhi ya hatua za Kujiandaa kutekeleza TAP.

Pata taarifa hapa chini kwa hatua hizi za kawaida za maandalizi ya mafunzo ya TAP na maswali Yanayoulizwa Mara kwa mara:

  • Nunua vifaa saidizi
  • Kuelewa mahitaji ya washiriki wa mafunzo wako
  • Kuandaa zana na taratibu za kukusanya taarifa za ufuatiliaji
  • Andaa wASHAuri
  • Panga ratiba ya mafunzo ya kina
  • Thibitisha njia mbalimbali za Rufaa
  • Andaa rasilimali za kujifunzia zilizochapishwa
  • Kuandaa sampuli za vifaa saidizi
  • Kuandaa ukumbi wa mafunzo
  • Kuhakikisha ruhusa na makubaliano vyote vimefanyika
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa mara.
Wanawake wawili wamesimama Wakati wa ya mchoro wa rangi wa watu katika mavazi ya jadi ya papua mpya ya guinea. Mwanamke mmoja anashikilia kibao cha kuandikia, mwanamke mwingine anaegemea kuelekeza kitu kwenye kibao cha kuandikia.

Nunua vifaa saidizi

Anza mchakato wa kununua vifaa vizuri kabla ya mafunzo. Inaweza kuchukua muda kupata bidhaa zinazohitajika, Thibitisha mahitaji na agiza bidhaa hizi kutoka kwa washitiri na hakikisha kuwa vifaa vinaletwa hadi eneo ulipo. kama bidhaa zitaagizwa kutoka nje ya nchi, tafuta ushauri wa ndani juu ya mahitaji na muda wa kibali cha forodha.

Pamoja na kununua bidhaa:

  • Tayarisha ambapo bidhaa zitahifadhiwa
  • Namna zitakavyosafirishwa hadi Eneo la mafunzo
  • namna na kwa kiasi gani zitasambazwa hadi maeneo ya kutolea huduma baada ya mafunzo
  • Namna vifaa vitakavyosimamiwa na nani atawajibika
  • Ikiwa bidhaa zitatolewa bila malipo kwa watumiaji wa huduma
  • Namna mbalimbali endelevu ya kupata bidhaa  (huduma endelevu).

Kuelewa mahitaji ya washiriki wa mafunzo wako

Mpango wa Mradi wa TAP Unapaswa kuelezea washiriki wa mafunzo na jukumu lao linalotarajiwa. Katika hatua hii ambayo ni ya maandalizi ya kina, washiriki wa mafunzo binafsi watahitaji kuchaguliwa kutoka kwenye mashirika Yanayoshiriki.

Kujfunza kwa pamoja

Wakati wa kufanya kazi na wasimamizi wa huduma au wadau wengine kuchagua washiriki wa mafunzo, kufuata namnaa, Kanuni za Usawa na Ujumuishaji wa kijamii.

Lengo la uWakilishi sawa wa kinamnaa kati ya wanafunzi utaleta matokeo chanya katika upatikanaji wa huduma kwa watu wa namnaa tofauti.

Kuondoa vikwazo ambavyo vinaweza kuzuia watu wenye ulemavu kushiriki kutasaidia kuongeza idadi ya watu wenye uzoefu wa kutumia vifaa saidizi kwa kuangalia nguvu kazi inayowezekana kutokana na kutumia teknolojia ya vifaa saidizi.

Mwanaume Aliyevaa miwani nyeusi na visikiliza vya masikioni hutumia kompyuta kibao iliyounganishwa na kibodi kutumia TAP.

Mara baada ya washiriki wa mafunzo kuchaguliwa, kukusanya taarifa maalum juu yao kutasaidia kuhakikisha mafunzo Yanaandaliwa ili kukidhi mahitaji yao. Yafuatayo ni baadhi ya maswali ya kuwaUliza washiriki wa mafunzo pamoja na wasmamizi wao:

  • Ni maarifa na ujuzi gani unaoendana na vifaa saidizi ambao tayari wanafunzi wanao?
  • Ni washiriki wa mafunzo wana majukumu gani sasa?
  • Washiriki wa mafunzo wana jukumu gani baada ya kukamilisha mafunzo ya TAP?
  • Je, wanafunzi wamekuwa na uzoefu na kujifunza mtandaoni?
  • Je, wanafunzi wanajua kutumia kompyuta / kishikwambi / simu janja?
  • Je, washiriki wa mafunzo wana barua pepe (barua pepe inahitajika kujiandikisha kwenye jukwaa la TAP)?
  • Je, washiriki wa mafunzo wana uhitaji wa upatikanaji wa vifaa saidizi?

Kwa maelezo zaidi kuhusu vipengele vya upatikanaji wa mafunzo ya TAP angalia Ukurasa kuhusu.

Kuandaa zana na taratibu za kukusanya taarifa za ufuatiliaji

Hapa kuna orodha ya aina ya data ambayo hukusanywa kwenye jukwaa la TAP:

Usajili

Watumiaji wote wa TAP wanahitaji kujiandikisha kwenye Jukwaa la TAP ili kuweza kuanza kusoma moduli. Usajili wa mtandaoni unajumuisha habari za msingi kama vile jina, barua pepe, namnaa, nchi na sababu ya kuteWakati waa TAP.

Uandikishaji

Wakati wanafunzi wanatumia TAP kama sehemu ya Mradi wa TAP, WHO inaweza kuunda fomu ya kujiandikisha mtandaoni inayolenga kwa kikundi cha washiriki wa mafunzo. Hii inaweza kujumuisha cheo cha kazi cha mtu, uzoefu, elimu, na ujuzi wa kujifunza mtandaoni na vifaa kama vile kompyuta, kompyuta kishikwambi na simu janja.

Fomu ya Kujisajili pia hutoa habari muhimu kuhusu namna data iliyokusanywa kwenye jukwaa la TAP inaweza kutumika na hutoa fursa kwa washiriki wa mafunzo kuthibitisha makubaliano yao kwamba data zao zilizotambuliwa zinaweza kutumika kusaidia kuboresha TAP na upatikanaji wa teknolojia ya vifaa saidizi.

Alama za majaribio ya kabla na baada ya kumaliza kusoma moduli

Moduli zote za TAP huanza na kumalizika kwa jaribio la kile ambacho msoMaji amekielewa kutoka kwenye moduli. Alama kutoka kwenye majaribio Wakati wa kuanza kusoma moduli na mwishoni mwa kusoma moduli zinaweza kulinganishwa kama kipimo cha mabadiliko cha maarifa kwa washiriki wa mafunzo.

WASHAuri au waratibu wanapaswa kuwakumbusha washiriki wa mafunzo kufanya majaribio. kama wanafunzi wengine wanapenda kufanya maswali zaidi ya mara moja, Wakati wa kulinganisha alama, tunatumia tu majaribio ya kwanza.

Mrejesho

Wanafunzi wa TAP wanapaswa kujaza Fomu ya mrejesho ya TAP iliyo kwenye mtandano mara baada ya kumaliza mafunzo yao. Fomu hii inakusanya taarifa kuhusu namna moduli za TAP zinavyofaa  wanafunzi, ikiwa mafunzo yameongeza hali ya kujiamini katika kutoa vifaa saidizi, na ni Msaada gani zaidi ambao wanahisi wanaweza kuhitaji.

Ikiwa ungependa kuandaa fomu, kuweza kuipata na kutumia taarifa ya jukwaa la TAP kwa ajili ya Mradi wako wa TAP, wasiliana na WHO kwa barua pepe [email protected].

Andaa wASHAuri

Mpango wa Mradi wa TAP Unapaswa kutambua wASHAuri ambao wanaweza kusaidia moduli zilizochaguliwa za TAP.

WASHAuri hawana haja ya kuandaa nyenzo za mafunzo, hata hivyo wanahitaji kuwa na ujuzi sana wa moduli za TAP wAnnazofunidisha na kuwa tayari kwa jukumu lao kama wASHAuri.

Ili kuandaa wASHAuri, Waratibu wa TAP wanapaswa:

Mwezi mmoja kabla ya mafunzo

Omba wASHAuri kujiandikisha kwenye jukwaa la TAP na upitie moduli ambazo watakuwa wakifundisha pamoja na orodha ya stadi na maelezo ya wASHAuri.

Wiki mbili kabla ya mafunzo

Hakikisha kuna kipindi cha muhtasari na wASHAuri ili:

  • Thibitisha na kuelezea jukumu lao kama mshauri
  • Jibu maswali yoyote kuhusu moduli
  • Jadili matumizi ya orodha ya stadi na maelezo ya wASHAuri.

Wiki moja kabla ya mafunzo

Kwa kushirikiana na wASHAuri thibitisha ratiba ya mafunzo ya kina, ambayo inaweza kuboreshwa na wASHAuri, au waratibu, au kwa kushirikiana.

Panga ratiba ya mafunzo ya kina

Ratiba ya mafunzo ya kina inapaswa kuelezea ratiba ya:

  • Mafunzo ya mtandaoni
  • Mafunzo ya uso kwa uso (kwa mfano kuigiza jukumu, ufahamu wa kifaa saidizi)
  • Mazoezi kwa vitendo yanyosimamiwa

Kila kundi la wanafunzi ni tofauti, na mahitaji yao yatatofautiana. Panga ratiba yako ya mafunzo ya Mradi wa TAP kwa kuzingatia mahitaji ya wanafunzi na mameneja wao na / au waratibu, pamoja na vipauWakati wa vyao vilivyopo, utoaji wa huduma na ahadi zingine.

Kundi la watu saba wakitazama wanawake wengine wakifanya mazoezi ya tathmini ya kufanya  vifaa saidizi vya Uoni.

Mafunzo ya mtandaoni

Mafunzo ya mtandaoni ya TAP Yanaweza kutolewa kwa njia kuu mbili:

  1. Ujifunzaji wa kikundi (pamoja\)

Wanafunzi huja pamoja na kufanya kazi kusoma moduli zilizopewa katika kikundi katika eneo kuu la mafunzo. Wanafunzi wanasoma sehemu ya mafunzo iliyoko kwenye mtandao kulingana na kasi yao, hata hivyo kuna nyakati zilizopangwa kwa kikundi chote kuja pamoja chini ya Sio kwelizi wa mshauri kuUliza maswali, kujadili, na kufanya mazoezi ya stadi.

Faida za kujifunza katika kikundi (pamoja\) ni kwamba wanafunzi wanaweza kupata muda wa kubadilisha mawazo kwa urahisi, ni rahisi kuwa na vifaa kama vile sampuli za vifaa saidizi, upatikanaji wa mtandao unaweza kuratibiwa kwa urahisi, na wASHAuri wako tayari kusaidia katika masuala ya kujifunza na kiufundi. Njia hii inafaa kwa washiriki wa mafunzo ambao hawana mafunzo ya awali kwenye teknolojia ya vifaa saidizi na uzoefu mdogo wa mafunzo ya mtandaoni.

  1. Kujfunza kwenye kikundi (kijijini)

Wanafunzi husoma moduli walizopewa mahali pao pa kazi au nyumbani kwa muda uliokubaliwa. Wakati wa kujifunza mtandao, wASHAuri na wenzao wanaweza Kutoa Msaada kupitia jukwaa la majadiliano ya TAP, kikundi cha ujumbe wa papo hapo na / au mkutano kwa njia ya simu. Baada ya kukamilisha moduli walizopewa mtandaoni, kikundi kinaweza Kutana na mshauri (s) AU mshauri anaweza kuteWakati waa wanafunzi mahali pao pa kazi kwa majadiliano pamoja na vitendo.

Faida ya kujifunza katika kikundi (mbali) ni kwamba huhitaji kuzunguka na washirikiwa mafunzo wanaweza kuyafanya mafunzo kuwa na ratiba inayowafaa na hivi kukuamilisha wajibu wao mwingine.

Baadhi ya vidokezo vya kutengeneza ratiba ya mafunzo kwa ajli ya kujifunza mtandaoni:

  • Usajili, uandikishaji na kujifunza kuhusu jukwaa: Toa muda mwanzoni mwa mafunzo kwa wanafunzi kujisaili na kujiandikisha kwenye mafunzo ya TAP, na kuzoea jukwaa. Kulingana na namna wASHAbaririki wa mafunzo ,wASHAuri na waratibu wamezoea TAP, toa maSaa 2-4 kwa ajili ya kipindi cha utambulisho. Tenga muda zaidi kama wASHAbaririki wa mafunzo  hawana anwani za barua pepe. Andaa Msaada uweze kusaidia kuTatua matatizo yoyote ya kiufundi Yanayoweza kujitokeza
  • Maelezo ya mshauri: tumia maelezo ya Mshauri wa TAP kupata maelezo ya jumla ya fursa za kubadilishana mawazo katika kila moduli, ili kusaidia ratiba na Kujiandaa kwa majadiliano na vipindi vya kusoma kwa vitendo
  • Wakati kwa kila moduli: tumia muda mwanzoni mwa kila moduli (na pia imeorodheshwa kwenye maelezo ya moduli ya mshauri) kama mwongozo tu. WASHAuri kusoma moduli kabla ya kupanga ratiba ya mafunzo itasaidia Waratibu na WASHAuri kutabiri kwa usahihi zaidi muda ambao wASHAbaririki wa mafunzo waTatumia kusoma moduli
  • Vikao vifupi: Ratiba ya vikao vifupi kati ya WASHAbaririki wa Mafunzo na wASHAuri mwisho wa kila Siku, kuangAlia maendeleo na kuhakikisha masuala yoyote Yanatambuliwa na kushughulikiwa.

Mafunzo ya ana kwa ana

Baadhi ya mafunzo ya ana kwa ana kwa kawaida yatahitajika kabla ya wanafunzi kuanza kugawa vifaa siadizi. Hii itategemea uzoefu wa awali wa wanafunzi kuhusu vifaa saidizi. Mafunzo ya ana kwa ana huenda yakajumuisha kazi za kuigiza ili kuwawezesha washiriki wa mafunzo kuweka maarifa yao mapya katika vitendo.

Ni muhimu pia kwamba wanafunzi wafahamu aina mbalimbali za vifaa saidizi zinazopatikana na namna ya kuzifanya ziendane na mazingira na ziwafae. Mada nyingine za mafunzo ya ana kwa ana zinaweza pia kuwasaidia pamoja na maelezo juu ya njia za Rufaa na mafunzo juu ya ukusanyaji wa data ya utoaji huduma.

Mazoezi kwa vitendo yanyosimamiwa

Wakati TAP inatumika kujenga ujuzi (competencies) wa wafanyakazi, mazoezi baada ya mafunzo ya mtandaoni na mshauri ni muhimu. Weka ratiba ya mafunzo katika muda wako wa ratiba ya mafunzo kwa mazoezi ya kusimamiwa mahali pa kazi. Hii ifanyike kwa kukubaliana na wanafunzi na waratibu.

Wakati wa mazoezi Yanayosimamiwa mahali pa kazi, wASHAuri wataangalia kwa makini na kuwASHAuri kwa karibu wafanyakazi na watumiaji wa huduma hadi wawe na Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea. WASHAuri wanaweza kutumia orodha ya stadi za TAP kuunda namna ambavyo wanataka ushauri uwe unatolewa , namna ya kutathmini maendeleo ya wanafunzi na kuwapa wanafunzi maoni.

Thibitisha njia mbalimbali za Rufaa

Kabla ya mafunzo kuanza, ainisha utaratibu wa Rufaa kwenda kwenye watu kupata vifaa saidizi na huduma zinazohusiana.

Kila moduli ya TAP inaanisha huduma muhimu za Rufaa ambazo zinaweza kuhitajika. Kwa mfano, kufanya uchunguzi wa uoni kunafundishwa katika moduli ya uoni, mtu anaweza kutambuliwa kama anahitaji kupelekwa kwa 'mtaalamu wa afya ya macho'. WASHAuri watahitaji kuwa na Uwezo wa kuelezea washiriki wa mafunzo, katika muktadha wao, nani anapaswa kupewa huduma hiyo.

Kuandaa sampuli za vifaa saidizi

Wanafunzi watafaidika kwa kupata mifano ya vifaa saidizi vilivyoelezewa kwenye moduli Wakati wa mafunzo ya mtandaoni. Kuna baadhi ya kazi za kushirikishana  wakati wote wa kupitia moduli zote ambazo zinahitaji washiriki wa mafunzo kupitia sampuli za vifaa.

Wakati washiriki wa mafunzo wakisoma moduli kwa pamoja, hakikisha kuwa sampuli za vifaa saidizi zinatolewa kwenye vifungashio vyake na zinapatikana kwa urahisi kwa washiriki wa mafunzo wote. Wakati washiriki wa mafunzo wakisoma moduli wakati wWakati wa mbali, hakikisha wana sampuli tofauti za vifaa saidizi

Kuandaa ukumbi wa mafunzo

taarifa Hii ni kwa ajili ya Vikundi kujifunza kwa pamoja.

Namna ambavyo ukumbi wa mafunzo unavyoanzishwa utategemea idadi ya wanafunzi na nafasi iliyopo.

Nafasi itahitajika kwa ajili:

  • Kujifunza mtandaoni, na meza au dawati kwa wanafunzi kufanya kazi na nafasi ya kuweka kifaa chao (kompyuta, kompyuta kibao, simu) na nyaraka zilizochapishwa
  • Majadiliano ya Vikundi
  • Vikundi vidogo vidogo kwa ajili ya maigizo
  • Kuhifadhi sampuli za vifaa saidizi hadi pale vitakapohitajiwa na washiriki wa mafunzo
  • Viburudisho na chakula cha mchana.

Baadhi ya mambo ya kuFikiria Wakati wa kuanzisha ukumbi:

  • Angalia mambo ya kuzingatia kuhusu COVID hasa hasa kutunza umbali kati ya mtumiaji na mtu.
  • Hakikisha kuna sehemu nyingi za kutosha ya umeme ambapo washiriki wa mafunzo wanaweza kuchomeka vitendea kazi vyao
  • Hakikisha uwepo wa mtandao wa intaneti kabla ya mafunzo kuanza

Hakikisha kuwa washiriki wa mafunzo wote wanaweza kufika kwenye maeneo yote yatakayotumika kwa ajili ya mafunzo.

Kuhakikisha ruhusa na makubaliano vyote vimefanyika

Waratibu, wASHAuri na wasimamizi wa huduma wanaweza kuchagua kutoa maelezo ya ziada kuhusu mafunzo na makubaliano na washiriki wa mafunzo, zaidi ya taarifa na makubaliano katika fomu ya usajili. Hii inaweza kusimamiwa katika eneo husika kwa kutumia fomu zilizo katika karatasi au fomu za ziada zinaweza kupWakati wa kwenye jukwaa iwapo kutakuwepo na ombi.

Kukusaidia kujifunza kwa ufanisi kwa kutumia TAP

Hapa chini kuna baadhi ya mikakati ambayo waratibu wanaweza kutumia ili kusaidia matumizi bora zaidi ya moduli za TAP:

  • Kutoa Msaada wa kiufundi: Ikiwa wanafunzi hawajazoea kujifunza mtandaoni na / au vifaa vinavyotumiwa kuweza kupata mafunzo - toa mafunzo kwa washiriki wa mafunzo na hakikisha Msaada unapatikana Wakati wa vipindi vya kujifunza.
  • Kukidhi mahitaji ya upatikanaji: Kumbuka kukagua kama washiriki wa mafunzo waweza kupata mahitaji. Kujadili mahitaji yao na kuhakikisha kuwa marekebisho yoyote Yanayohitajika yamepatikana.
  • Kujifunza kwa wWakati wa wawili wawili: Washiriki wa mafunzo wengine wanaweza kupendelea kusoma moduli wWakati wa na mshirki mwenzao. Hii inaweza kuongeza mwingiliano na maudhui ya TAP na kuwasaidia Wakati wa kuendeleza stadi za vitendo.
  • Kujifunza kama kikundi kwa kipindi hicho hicho: Hii inatoa fursa kwa:
    • Tayarisha vikao vya kikundi ili kuangalia maendeleo ya kila mtu katika kujifunza ili kufikia hatua muhimu
    • Jibu kama kikundi  kuhusu maswali ya majadiliano ya TAP (Yanayopatikana katika moduli zote)
    • Kutekeleza shughuli za TAP zilizopendekezwa kwa vitendo zilizopendekezwa  (kwa mfano kuchunguza bidhaa zinazopatikana ndani ya nchi) na usimamizi na / au wASHAuri wa hospitalini
  • Leta maudhui kwenye mAISHA ya kawaida: Unda kitu cha maana kwa kutumia simulizi na mifano ya eneo husika. Waratibu. Waratibu, wASHAuri wa hospitalini na wanafunzi wote wanaweza kushirikishana simulizi ambazo zinahusiana na uzoefu binafsi.
  • Hamasisha washiriki wa mafunzo kutumia jukwaa la majadiliano; na / au kuanzisha mazungumzo ya kikundi kwa kutumia jukwaa walipendalo kuandika maswali yao, maoni na mawazo.
  • Baada ya wanafunzi kukamilisha moduli:
    • Simamia maigizo na washiriki wa mafunzo kufanya kwa vitendo stadi kwa wao kwa wao wakipata Msaada kutoka kwa tabibu mwenye uzoefu wa hospitalini.
    • Wakati washiriki wa mafunzo wanapojiamini kwa stadi zao, kuandaa mazoezi kwa vitendo na watumiaji wa vifaa saidizi Yanayosimamiwa na wawezeshaji. Hakikisha wanafunzi wanasaidiwa na wASHAuri wenye uzoefu wa hospitalini ili kuhakikisha usalama wa kila mtu.
    • WASHAuri wa kliniki wanaweza kutumia orodha za stadi kufuatilia umahiri wa kila mshriki wa mafunzo.

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu TAP wasiliana na Timu ya Teknolojia ya Msaada ya WHO kwa kutumia barua pepep:  [email protected].

Ikiwa unahitaji Msaada wowote wa kiufundi kutekeleza mafunzo ya TAP Tafadhali wasiliana na Ofisi yako ya WHO iliyo nchini kwako

Wanaume wawili wamekaa chini. Mtu aliye upande wa kulia anashikilia tathmini ya kufanya  vifaa saidizi vya Uoni E chati na kupiga punyeto kwa E kubwa na kalamu. Mtu wa kushoto anaangalia chati ya Uoni.