Majukumu tofauti katika utoaji wa vifaa saidizi

Maendeleo ya usoMaji Mada:

Basi limeegeshwa karibu na soko. Mwanaume hufungua mlango kwa wanawake wawili. Mmoja wa wanawake anatumia fimbo ya kuteWakati waa. Kuna hatua ndogo Wakati wa ya mlango.

Watu wengi wana jukumu la kusaidia wahitaji kupata vifaa saidizi wanavyohitaji. Majukumu haya ni pamoja na:

  • Mtu mwenyehitaji kifaa saidizi na familia yake
  • Wale wanaotambua mtu mwenyeweza kufaidika na vifaa saidizi, na kuwaelekeza sehemu wanayowezakupata huduma ya vifaa saidizi
  • Wafanyakazi waliopata mafunzo ambao wanafanya kazi na ambao wanafanya kazi kwa karibu na mtu anayehitaji kifaa saidizi
  • Wanajamii ambao wote wana jukumu la kufanya katika kusaidia watu wanaotumia vifaa saidizi.
  • Viongozi na wafanya maamuzi ambao kwa mfano, wanaweza kuhakikisha upatikanaji wa vifaa saidizi katika mfumo wa serikali, na kuhakikisha kuwa majengo na maeneo ya kijamii Yanafikika kiurahisi na watu wanaotumia vifaa saidizi.

Mfanyakazi msaidizi anaongoza mahojiano ya tathmini na Michael na wazazi wake. Wote wanakaa kwenye kikundi.

Michael na rafiki yake wakitembea pamoja kuelekea shuleni  kwenye njia ya mchanga. Michael yuko Wakati wa , na anatumia fimbo nyeupe yenye mpira kwa Wakati wa ili aweze kutambua njia iliyoko Wakati wa yake.

Kutana na Michael.

Michael alizaliwa kipofu. Alipoanza shule, wazazi wake walisikia kuhusu shirika la jamii linalowasaidia watu wenye ulemavu. Waliwasiliana na shirika hilo na kuomba Msaada.

Mtoa huduma ya Afya AlimteWakati waa Michael na familia yake nyumbani kwake. Wakati wa ziara hii, Michael na familia yake wAlielezea kwamba Alitaka kuwa na Uwezo wa kuzunguka mwenyewe. Mtoa huduma ya Afya Alipendekeza Michael awe mmoja wa watakaofaidika na fimbo nyeupe. Michael Alipewa Siku maalum ya kwenda kwenye kituo cha taasisi kufanyiwa tathmini zaidi.

Michael alipewa fimbo nyeupe, ambayo anatumia kwenda na kutoka shuleni, pamoja na kuzunguka darasa na uwanja wa michezo bila wasiwasi.

Mtoa huduma katika jamii aliongea na wanafunzi wengine kwenye darasa lake kuhusu fimbo nyeupe na namna itkavyomsaidia kuzunguka darasani na eneo la michezo. Kwa hivi sasa kila mtu anajitahidi KuKumbuka kutomzuia kwenye korido na njiani anapokuwa anazunguka kwenye maeneo ya shule!

Swali

  • Ni watu gani waliohusika katika kumsaidia Michael kupata na kutumia fimbo nyeupe?
  • Kila mmoja wao alikuwa na jukumu gani?
  • Wazazi wa Michael ambao waliwasiliana na taasisi hiyo, na kumsaidia Michael wakati alipoenda kwenye taasisi hiyo
  • Mtoa huduma ya Afya katoka taasisi ya jamii ambaye alimteWakati waa Michael nyumbani na kuratibu tathmini ya Michael kwenye kituo cha taasisi
  • Michael, ambaye alielezea kwamba alitaka kuwa na Uwezo wa kuzunguka mwenyewe
  • Walimu wa Michael na wanafunzi wenzie ambao wanaunga mkono matumizi yake ya fimbo nyeupe shuleni, na waliojitahidi kupunguza vikwazo kwenye maeneo alikokuwa anapita.

Mathias na mkewe wWakati wa wameketi katika kliniki ya afya akizungumza na muuguzi.

UnamKumbuka Mathias?
Mathias ana ugonjwa wa kisukari, na ana miadi ya Mara kwa mara na muuguzi katika kliniki ya afya iliyo katika eneo analoishi.

Siku moja alipoenda kliniki, muuguzi aligundua kuwa Mathias hakuwa na Uwezo Wakati wa kutembea vizuri. Mathias alielezea kuwa alikuwa akipata ugumu katika kutembea, kwani alikuwa akichoka kwa haraka.

Muuguzi huyo alimpa Mathias rufaa kwenda kwa Mtoa huduma ya afya kwenye jamii aliyeko katika kliniki hiyo. Mtoa huduma katika jamii alikamilisha kipimo cha Uwezo wa kutembea ili kujua kama Mathias anaweza kufaidika na Msaada wa kuteWakati waa na kupata Viatu vinavyofaa kuvaliwa ili kulinda miguu yake. Baada ya tathmini ya Vifaa saidizi vya kuteWakati waa, mtoa huduma katika jamii alimpa Mathias rolata.

Mathias alikuwa mtumiaji wa pili katika kanisa lake kutumia kifaa saidizi cha kutembea. kamati ya kanisa iliamua kuweka eneo maalum litakalosaidia kila mtu kuingia na kutoka kwa urahisi.

Wakati wa kwenda a kliniki kwa Siku iliyopangwa, mtoa huduma ya afya kwwenye jamii alimuUliza mathias namna alivyokuwa akijihudumia (kama vile kwenda msalani na/au Kuoga mwenyewe). Mathias alisema kuwa aliacha kwenda nje ya nyumba kwa vile alikuwa akipata shida kuzuia Mkojo na kukojoa. Baada ya kufanya tathmini na muuguzi, Mathias alipewa nguo za kufyonza Maji ili azitumie pale anapokwenda kwenye jamiii.Kwa hivi sasa Mathias ana ujasiri wa kwenda kwenda kwenye jamii.

Swali

  • Ni akina nani waliohusika katika kumsaidia Mathias kupata na kutumia vifaa saidizi?
  • Kila mmoja wao alikuwa na jukumu gani?
  • Muuguzi ambaye aliona kuwa Mathias anaweza kufaidika na vifaa saidizi. Alimpa rufaa kwenda kumuona mtoa huduma ya Afya kwenye jamii ili afanyie tathmini ya Uwezo wake wa kutembea na alimsaidia kuweza kukabili suala la kudhibiti Mkojo.
  • Mtoa huduma ya Afya katika jamii ambaye alimfanyia tathmini kuhusu uwezekano wa kutumia kifaa saidizi cha kutembea na alimuUliza mathias kuhusu anavyopata mahitaji yake.
  • Mathias ambaye alielezea kwamba alikuwa akitembea kwa shida, na kwamba hakutaka kwenda nje kwa sababu ya kutokuweza kudhibiti Mkojo wake.
  • Jumuiya yake ya kanisani ambao ilihakikisha kuwa angeweza kutumia kifaa saidizi cha kutembea kanisani.

kama tulivyoona, kuna watu wengi ambao wana jukumu la kusaidia watu kupata vifaa saidizi wanavyohitaji.

Umekamilisha Somo la Pili!

Ikiwa una Maswali au maoni yoyote, Tafadhali yaandike kwenye jukwaa la majadiliano.

Jukwaa la majadiliano